Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1249 results for Mussa Juma :

  1. Rais Mwinyi awaweka pembeni RC, ma- DC wakiwamo wanaoutaka uwakilishi, ubunge

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za...

  2. PRIME Kutoka mipango, mauaji hadi askari kunyongwa-1

    Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa mashahidi 28 upande wa mashtaka, vielelezo 16 vya upande wa mashtaka...

  3. Bei za vifurushi zimeshuka - NHIF

    Hili linasemwa wakati ambao tayari utekelezaji wa sheria ya bima ya afya kwa wote umeanza, huku utaratibu maalumu ukiwa umewekwa ili kuwafikia wale wasiokuwa na uwezo wa kumudu gharama ikiwemo...

  4. PRIME Saa tano ngumu ndani ya mwendokasi

    Kama inavyosemwa na Waswahili, ukitaka kujua utamu wa ngoma sharti uingie uicheze, ndivyo ilivyo hata unapotaka kujua karaha za usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam, sharti upande.

  5. PRIME Askari waliomuua muuza madini wahukumiwa kunyongwa

    Maofisa waliokutwa na hatia ni Mrakibu wa Polisi, Gilbert Kalanje, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Mtwara na Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Charles Onyango, aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi...

  6. Sh26 milioni kunusuru nyumba 114 Mto Morogoro

    Bodi ya Bonde la Wami-Ruvu imetangaza mpango wa kufukua kipande cha kilomita 1.7 cha Mto Morogoro na kuupeleka kwenye njia yake ya asili, ili kukabiliana na athari za mafuriko zinazoendelea...

  7. Safari treni ya SGR Dar -Dodoma kuongezwa, Naibu Spika ashauri

    Hata hivyo, kwa sasa safari za treni hiyo kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ni nne, ila kutoka Dodoma kwenda Dar bado ni tatu.

  8. Sh240 bilioni kujenga shule 23 za ghorofa Zanzibar

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesaini mkataba na Benki ya CRDB kwa ajili ya kupata mkopo wa bei nafuu wa Euro milioni 79 (takribani Sh240 bilioni), zitakazotumika katika ujenzi wa...

  9. Wagombea 18 kuchuana urais CWT, 19 umakamu

    Kuwapo kwa idadi kubwa ya wagombea kumeelezwa na aliyekuwa Rais wa CWT, Gratian Mukoba kwamba ni ishara ya mvuto wa chama kwa kuwa hakuna mtu atakayekubali kuongoza kitu kisichokuwa na maana.

  10. Sababu Dk Mwinyi kuteua wakurugenzi wapya Unguja, Pemba

    Mhandisi Zena amesema uteuzi huo unaanza rasmi leo, Mei 20, 2025.

Page 1 of 125

Next