PRIME Kizungumkuti mazishi ya Lungu kama Mwanawasa Yanayomkuta Rais wa sasa wa Zambia, Hakainde Hichilema, kwa kunyimwa fursa ya kuhudhuria mazishi ya Rais wa zamani, Edgar Lungu, yanafanana na yaliyomkuta Michael Sata alipofukuzwa na familia...
Qatar yafunga anga kwa muda kujihami tishio mashambulizi ya Iran Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar iliyochapishwa kwenye X imeeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha usalama wa wananchi wake na wageni.
PRIME Mkongwe wa siasa, rafiki wa Mwalimu Nyerere afariki dunia Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele, ambaye amesema maandalizi ya kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda Songea kwa maziko yanaendelea, huku msiba ukiwa nyumbani...
PRIME Kardinali Nichols afichua kilichojiri uchaguzi wa Papa mpya Kardinali Vincent Nichols (79), ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Uingereza na Wales, alikuwa miongoni mwa makardinali 133 walioshiriki katika kikao cha kumchagua Papa mpya.
Sera mpya mambo ya nje kutoa mwogozo wa diaspora Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema sera mpya ya mambo ya nje itakayozinduliwa mwezi huu itatatua changamoto kadhaa ikiwamo ukosefu wa...
PRIME Kesi ya uhaini ya Lissu ya kwanza tangu kurejea mfumo wa vyama vingi Tanzania Kabla ya kurejea mfumo wa vyama vingi, Tanzania imewahi kushuhudia kesi kadhaa za uhaini zinazohusisha wanasiasa, wanajeshi na watumishi wa umma.
Mtifuano wa Rais Ruto, Gachagua waanza upya Mtifuano wa Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, ni kama umeanza upya baada ya kiongozi huyo wa nchi kutoa tuhuma nyingine dhidi ya Gachagua, ikiwamo madai ya malipo ya...
Naibu Msajili aweka msimamo, uchaguzi lazima ufanyike Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya 'No Reforms No Election' (hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi), Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesisitiza Uchaguzi Mkuu Oktoba...
Ssali alivyoacha alama na mahojiano ya vigogo Watanzania wengi walimsikia na kumuona Ssali kupitia televeshini na redio za Tanzania katika kipindi chake cha Straight Talk Africa kupitia Idhaa ya Sauti ya Amerika (VOA).
Sakata la Trump na Zelensky lachukua sura mpya Kauli ya Umoja wa Ulaya na matamko ya viongozi wengine wa dunia kuweka huruma kwa Zelensky baada ya juzi kushambuliwa kwenye ikulu ya ‘White House’ na Turmp huku akiungwa mkono na makamu wake JD...