Search

63 results for Ramadhani Ismail :

  1. ACT Wazalendo yaanza mchakato kumpata mrithi wa Zitto

    Mpaka sasa viongozi kadhaa wanatajwa kutaka kurithi nafasi hiyo, baadhi yao ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo – Tanzania Bara, Dorothy Semu, Makamu Mwenyekiti – Zanzibar, Othman...

  2. Wapishi wa ngoma walioupiga mwingi 2023

    Katika upande wa michezo, Kimambo alitubariki na ‘Mnyama’ nyimbo ya Simba SC ambayo imeimbwa na Alikiba. Hata hapo awali, pia alitupatia hit kwa ajili ya mashabiki wa Yanga, ‘Yanga Anthem’ ngoma...

  3. Sho Madjozi: Rudisheni ladha ya Bongofleva halisi katika midundo mipya

    “Hata kabla ya Amapiano kuingia watu walianza kuchukua midundo, melodi na staili za Nigeria, mpaka ikafikia hatua unashindwa kujua kama ni nyimbo ya Kibongo kwa sababu mpaka matamshi wanaiga.

  4. Serikali kufutia leseni vyuo 124 vya udereva

    Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani kimevifungia vyuo vya mafunzo ya udereva 124 kutokana na kukosa sifa ya kutoa taaluma hiyo.

  5. Majiha awatoa kwenye reli Kiduku, Mwakinyo

    Ni Fadhil Majiha! Huyu ndiye 'mwamba' wa masumbwi kwa sasa nchini akiwatoa kwenye reli nyota wote, akiwamo Twaha 'Kiduku' Kassim na Hassan Mwakinyo.

  6. Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Lebahati (35-37) anatuhumiwa kumtorosha mtoto wa kiume wa bosi wake na kwenda kuishi naye kinyumba kwa miezi mitano mfululizo huku akimlawiti.

  7. Shirika la Posta lashauriwa kukumbatia Tehama

    Shirika la Posta Tanzania limetakiwa kuyapa kipaumbele matumizi ya Tehama ili kuendana na kasi ya ushindani ya utoaji huduma na nchi zilizoendelea.

  8. PRIME Latra yajipanga kupiga mnada bajaji korofi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imeanza mchakato kuomba ruhusa ya Mahakama ya kuzipiga mnada bajaji zitakazomatwa zaidi ya mara moja zikiendesha shughuli zake bila leseni.

  9. Madereva daladala Arusha wagoma, abiria wapanda toyo

    Wakazi wa Jiji la Arusha wakiwamo wanafunzi waliofungua shule leo wamepitia msoto wa hali ya juu kutokana na kukosa usafiri.

  10. Korti yawaachia 14, wakaa rumande siku 642 bila kesi kuendelea

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru watu 14 baada ya kukaa mahabusu kwa siku 642 wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa vinywaji vyenye...

Page 1 of 7

Next