Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

87 results for Ramadhani Ismail :

  1. Mradi wa maji Sh1 bilioni kuwaokoa wananchi 12,619 kusaka maji usiku na mchana

    Wananchi wa Tarafa ya Naipanga, wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma ya maji baada ya Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (Ruwasa) kuwajengea tanki la maji...

  2. PRIME Watatu waachiwa huru usafirishaji gramu 997.91 za heroini

    Hukumu iliyowaachia huru washtakiwa hao imetolewa Mei 23, 2025 na Jaji Sedekia Kisanya aliyesema upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha shitaka hilo pasipo kuacha shaka.

  3. Makusanyo ya mapato Jiji la Arusha yapaa, yafikia Sh51 bilioni

    Katika mkutano huo wenye lengo la kutoa taarifa ya utekelezaji wa miradi kwa miaka minne waliyokaa madarakani, meya huyo amesema moja ya maboresho ni kutoa mitaji ya biashara kwa vikundi 862...

  4. Mchungaji aliyetekwa Arusha akutwa porini, asimulia

    Mchungaji huyo amesema watu hao walimwambia alale chini wakamkanyaga shingoni, mmoja akawaambia wenzake wanamuachaje hapo.

  5. PRIME Mchungaji atekwa na wasiojulikana, mashuhuda wasimulia

    Inadaiwa mchungaji huyo alikokotwa kwa nguvu, huku akipiga kelele kwamba anatekwa kisha akatupwa kwenye gari lililoondoka eneo hilo kwa kasi.

  6. Vibaka tishio Arusha, wadaiwa kumuua dereva wa lori akitafuta gesti

    Matukio hayo yanajumuisha mauaji, ubakaji, pamoja na ukwepaji wa majukumu ya malezi ya watoto.

  7. Bajaji, pikipiki vinara kutumia nishati ya umeme

    Ripoti ya mwaka 2023 kutoka Africa E-Mobility Alliance (AfEMA) imebainisha ongezeko la idadi ya kampuni na wajasiriamali wanaoingia katika soko la magari ya umeme nchini Tanzania.

  8. Serikali yamalizia mchakato kuifanya NEMC kuwa mamlaka

    Dar es Salaam. Serikali imesema inaendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya kisheria ili kulibadilisha Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuwa mamlaka kamili...

  9. PRIME Simu, mitandao ya kijamii ilivyo hatari kwa akili yako

    Kwa mujibu wa ripoti hiyo, matumizi huongezeka zaidi kwa wafanyakazi ambao kila siku wanatumia kati ya programu na tovuti mara 1,200, hali inayoufanya ubongo kuwa katika msongo wa mara kwa mara.

  10. Watoa mbinu kuongeza watalii kutoka maeneo mapya

    Amesema Bara la Ulaya linaongoza kwa wageni walioingia Zanzibar.

Page 1 of 9

Next