Makalla ataja sababu ya kusitisha ziara na mikutano
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amosi Makalla, amesema kwamba kusitisha ziara, mikutano na makongamano ni hatua ya kuandaa vizuri mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani ndani...