Search

640 results for Tuzo Mapunda :

  1. PRIME Hivi ndivyo walivyojipanga wagombea ngazi ya kanda Chadema

    Wamesema uchaguzi huo utakuwa na ushindani, tofauti na mwingine wowote awali, kwa sababu unawakutanisha wagombea waliowahi kufanya kazi pamoja kwa nyakati tofauti, katika kanda na Kamati Kuu ya...

  2. Mchuano rasmi kuwania uongozi kanda nne Chadema

    Kanda zitakazofanya uchaguzi ni Serengeti yenye mikoa ya Mara, Shinyanga na Simiyu, kanda ya Magharibi (Tabora, Katavi na Kigoma), Nyasa (Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe na Rukwa) na Victoria...

  3. ‘Tuma kwa namba hii’ kukiona cha moto

    Kamanda Muliro amewataja waliokamatwa kuwa ni Pius Boniface (29) mkazi wa Eden, wakala wa kusajili laini za simu; Ezekiel Frank (30) mkazi wa Mikonko Mbalika ambaye ni dereva wa bodaboda na...

  4. Vodacom kurejesha vifurushi kwa walioshindwa kuvitumia

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hali ya upatikanaji wa mtandao wa intaneti hadi mchana wa leo Mei 15, 2024 huduma zingerejea kwa kiwango cha kuridhisha.

  5. PRIME Kamati kuu Chadema ‘yawafyeka’ wagombea hawa

    Katika mchakato wa usaili kuna watu sita hawakufanyiwa usaili kwa sababu mbalimbali

  6. PRIME Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza

    Asema maisha yake yanafanana na digidigi kwa sasa, Kamishna Jenerali Jeshi la Magereza afafanua

  7. PRIME Maswali yalivyowavuruga wagombea Chadema

    Mtia nia mwingine wa nafasi ya uhazini amesikika akiwasimulia wagombea wenzake aliulizwa namna fomu yake alivyoijaza ilikuwa tofauti na wajumbe wengine (alijaza kwa lugha ya Kiingereza).

  8. Barabara ya Ubungo –Kimara mwisho yaanza upanuzi

    Mwanaisha amesema matarajio yao mradi utakamilika ndani ya miezi 18 yaani Mei 2025.

  9. Wenye fani, sifa hizi ajira nje nje Polisi

    Jeshi la Polisi limetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa vijana wenye elimu ya shahada, astashahada, kidato cha sita na nne, huku moja ya sifa kwa muombaji lazima awe raia wa Tanzania wa kuzaliwa.

  10. Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni kesho

    Nafasi zinazowaniwa ni za mwenyekiti wa kanda, makamu mwenyekiti, mtunza hazina na watendaji wa mabaraza ya chama hicho –Bavicha, Bazecha na Bawacha.

Page 1 of 64

Next