Search

2275 results for Waandishi Wetu :

  1. Kisa Klopp, Guardiola atoa machozi 

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp

  2. PRIME Mchakato mrefu unavyowakosesha bodaboda wengi leseni

    Mchakato mrefu na tozo miongoni mwa sababu za madereva wengi wa pikipiki maarufu bodaboda kutokuwa na mafunzo wala leseni za udereva, hivyo kuchangia ongezeko la ajali za barabarani...

  3. Tunataka Katiba lakini...

    “Tutumie njia hiyo tufanye kazi, Mungu atuepushe usitokee mvutano. Mara nyingi Katiba haipatikani mpaka damu zimwagike, lakini ni vyema kuendelea kuchimba kuna namna ya kupata Katiba mpya,” amesema.

  4. Utalii wa Zanzibar waongeza watalii Hifadhi ya Mikumi

    “Kukua kwa utalii wa Zanzibar kumesaidia sana kusukuma maendeleo ya utalii katika hifadhi yetu, wengi wanaotembelea hapa wanatokea Zanzibar na hutua hapa kwa ndege na baada ya kumaliza shughuli...

  5. Matumizi bora ya ardhi kuondoa migongano ya binadamu, wanyamapori

    Suala la mipango ya matumizi bora ya ardhi, limetajwa kuwa suluhisho la changamoto zinazosababisha migongano kati ya wanyamapori na binadamu vijijini na kusababisha ugumu wa pande hizo mbili...

  6. Aliyempiga risasi Waziri Mkuu Slovakia apandishwa kizimbani

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Slovakia, Matus Sutaj Estok amesema mtuhumiwa aliyekamatwa kwa kumpiga risasi Waziri Mkuu Robert Fico ameshtakiwa kwa jaribio la mauaji.

  7. Madaktari bingwa na bobezi waweka kambi nyanda za juu kwa siku tano

    TSImeelezwa bado kada ya madaktari bingwa ina wataalamu wachache ukilinganisha na mahitaji

  8. PRIME Huduma nyeti za intaneti zilivyosimama

    Suala la satelaiti linaungwa mkono na wengi hususani watumiaji kuwa linaweza kuwa suluhu ya changamoto ya mtandao iliyojitokeza kama kuwapo huduma ya mtandao wa intaneti iliyotaka kuanzishwa na...

  9. PRIME Lissu aanika ushahidi tuhuma za rushwa Chadema

    Chanzo kutoka ndani ya chama hicho, kilieleza kuwa Lissu aliyewahi kuwa mbunge wa Singida Mashariki, aliwasilisha ushahidi wake kuhusu kauli yake aliyoitoa Mei 2, mwaka huu mkoani Iringa...

  10. Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni kesho

    Nafasi zinazowaniwa ni za mwenyekiti wa kanda, makamu mwenyekiti, mtunza hazina na watendaji wa mabaraza ya chama hicho –Bavicha, Bazecha na Bawacha.

Page 1 of 228

Next