Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

140 results for Bahati Mwatesa :

  1. Songamnara, Kilwa kisiwani kinara kuvutia watalii

    Mamlaka ya wanyamapori Tanzania (Tawa) imeyataja maeneo ya Songamnara na Kilwa kisiwani kuwa kinara kwa kutembelewa na watalii mkoani Lindi.

  2. Hospitali ya Wilaya Nachingwea yapatiwa vifaa tiba

    Nachingwea. Chama Kikuu cha Ushirika cha Runali kimetoa msaada wa vifaatiba katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea ili kupunguza changamoto ya wagonjwa kusafiri umbali mrefu kutoka wilayani...

  3. Majaliwa: Hakuna mwanamke atakayebaguliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na kwamba hakuna mwanamke atakayebaguliwa katika uongozi na ajira.

  4. Majaliwa awataka wanawake kuchangamkia fursa za mikopo TCB

    Serikali imewataka wanawake kuchangamkia fursa za mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri zote nchini ili kujiendeleza kiuchumi.

  5. Wawili akiwamo mwanahabari wafariki dunia kwa ajali

    Taarifa hiyo imewataja waliofariki dunia ni Fabian Lupenu na Juma Kasian.

  6. Wananchi Mtama wataka wataja mambo matatu kampeni ya kisheria wa Mama Samia

    Mtama. Wananchi wa Kijiji cha Utimbula, Kata ya Namangale, Halmashauri ya Mtama wameiomba Serikali kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Legal Aid Campaign) kuwasaidia katika...

  7. TPDC yatoa elimu ya gesi, mafuta kwa wanafunzi Lindi

    Hatua hii inalenga kuhakikisha Tanzania inakuwa na rasilimali watu ya kutosha kushiriki kikamilifu katika sekta ya mafuta na gesi kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

  8. Migogoro 27 ya ardhi, familia yatatuliwa Mtama

    Migogoro 27 kati ya 32 ya ardhi iliyowasilishwa katika Kliniki ya Msaada wa Kisheria katika Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi imetatuliwa, huku mitano ikipelekwa katika mamlaka husika.

  9. Mradi wa kuboresha ulinzi wazinduliwa mikoa ya kusini

    Wananchi wa mikoa ya Kusini wametakiwa kuacha tabia ya kumaliza kesi za ukatili nyumbani na badala yake watoe taarifa kwenye vyombo husika ili kuweza kuondoa changamoto hizo.

  10. Ma-DC watwishwa mzigo utatuzi wa migogoro familia, ardhi

    Majaliwa amesema wakuu hao wana jukumu la kusimamia maeneo yao kuhakikisha kampeni hiyo inaondoa changamoto za migogoro mbalimbali ya kisheria.

Previous

Page 2 of 14

Next