Mbarawa awashukia ‘miungu watu’ Tasac Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema ‘atasafisha’ baadhi ya watendaji wa Shirika la Wakala wa Meli nchini (Tasac) wanaojifanya ‘miungu watu’ huku wakiwakandamiza wengine.
Makonda: Ziara ya Kanda ya Ziwa imewavuruga wanaotaka urais Makonda amedai kuwa ziara yake imewavuruga watu wenye ndoto ya urais, akisema walifikiri watamchezea mwenyekiti wa CCM mwaka 2025 ili kukiyumbisha chama hicho ili kupata nafasi.
Makonda ampa siku tatu RC Mtanda kumaliza migogoro ardhi Tarime. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amempa siku tatu Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda kuja na mpango wa utatuzi wa migogoro ya ardhi inayojitokeza mara...
Makonda awataka wapinzani uwanjani, Chadema yajibu Kuhusu matumizi ya helkopta, Mrema amesema, "mwambie suala la chopa Makonda halimhusu kama anaitaka na yeye atafute ya kwake.
Paul Makonda atetea uteuzi wake CCM Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema licha ya kelele nyingi kuhusu yeye, lakini Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan alisimama imara na kupeleka...
Makonda atinga na trekta, ngamia mkutanoni Mwanza. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametinga Wilaya ya Magu akitumia usafiri wa trekta akitokea Mwanza Mjini kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa wilaya...
Makonda atinga na lori la mchanga mkutanoni Sengerema Haishiwi mbwembwe au vituko unaweza kutafsiri hivyo, baada ya leo Katibu wa Itikadi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Paul Makonda kutumia usafiri wa lori la mchanga wakati akiingia kwenye viunga...
Makonda ampa Mavunde saa 24 kufika Geita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema akiondoka mkoani Geita kesho apishane na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde atakayekwenda kutatua mgogoro wa mpaka...
Makonda: Mniombee niwe sauti ya wanyonge Makonda amesema uzuri wenyewe ana baraka za bosi wake, Daniel Chongolo (katibu mkuu wa CCM), aliyemtaka kuchapa kazi bila hofu wala uoga wowote au kutishwa.
Makonda atinga mkutanoni na farasi Baada ya kutumia usafiri wa pikipiki na bajaji kwenye mapokezi au kwenda katika mikutano yake ya hadhara, leo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ametinga na farasi katika uwanja wa stendi ya...