Search

410 results for Baraka Loshilaa :

 1. Maaskofu wataja sababu watu kuiba kura, kusaka vyeo

  Sababu nyingine imetajwa ni tamaa mbaya za kisiasa ambazo mwelekeo wake ni kulinda masilahi binafsi na ulafi wa madaraka.

 2. Sababu watoto kuwa na uzito mkubwa

  Uzito sahihi wa mtoto wako unaotakiwa ni ule wa namba za umri wake ukazidisha mara mbili ukajumlisha na nane (yaani miaka 4x2+8= 16), zaidi ya hapo ni kiashiria cha uzito uliokithiri.

 3. Asimulia madhara aliyoyapata baada ya kukeketwa

  Akiwa anajiamini kuitunza familia, Happiness amesema alijifungua mtoto wa kwanza na kuchanika msamba na mtoto wa pili pia alipata tatizo hilohilo jambo lililosababisha kutelekezwa na mumewe.

  New Content Item (1)
 4. Simulizi mtoto wa miaka 10 alivyobakwa na jirani

  Ruth Masanje, mama mdogo wa mtoto huyo anayeishi naye, amesema baada ya kumuona alibaini hayuko sawa kwa namna alivyokuwa akitembea.

 5. Rais Samia astukia jambo utekelezaji miradi ya ndani

  Ataja tabia ya baadhi ya kampuni kutekeleza uwajibikaji kwa jamii (CSR), kwa kutoa fedha pale zinapojisikia

 6. Waguswa na afya ya Rais Mwinyi, wamtakia pole

  “Tuungane kumuombea Mzee wetu Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili apone haraka. Mwenyezi Mungu ashushe uponyaji na awape maarifa madaktari wetu, ili wakomeshe maradhi...

 7. Yaliyomo barua ya Chadema iliyowasilishwa  UN

  Barua hiyo iliyosainiwa na Mwenyekiti wa chama hicho Freman Mbowe, Chadema imependekeza Serikali iwasilishe bungeni muswada wa mchakato wa Katiba Mpya na muelekeo wa kila hatua ya upatikanaji...

 8. Kituo cha malezi Temeke kunufaisha vijana 500

  Wanufaika hao ni pamoja na wanafunzi ndani na nje ya shule na waelimishaji rika watawapatia stadi za maisha vijana hao.

 9. Mwarobaini kutoweka kwa watu Tanzania watolewa

  Leo Jumatano ya Januari 31, 2024, kumefanyika mjadala Mwananchi Space wenye mada isemayo, ‘nini kifanyike kukabili matukio ya kutoweka kwa watu nchini?.”

 10. Serikali yatangaza ajira mpya 137,29

  Tayari Serikali imetenga Sh899.473 bilioni kwa ajili ya kutekeleza mpango huo kwa kuwapa ajira wahudumu hao katika maeneo yao vijiji, vitongoji, mitaa pamoja na kujengewa uwezo.

Previous

Page 2 of 41

Next