CCM: Hatutakata majina Uchaguzi Mkuu Oktoba Kwa wale ambao hawatateuliwa kugombea nafasi ya ubunge na udiwani, watasubiri awamu nyingine.
Wasira arusha zigo kwa wabunge wataka majimbo Hatua hiyo itafungua pazia la mchakato wa uchaguzi kuanzia ngazi ya ndani ya chama hicho, kwa wale wanaotaka kuwania, wataanza harakati za kuwashawishi wajumbe wawapigie kura za maoni kabla ya...
Wasira: Umoja wa Taifa si mali ya CCM bali ni kwa Watanzania wote Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema umoja wa Taifa si mali ya CCM bali ni wa Watanzania, huku akidokeza mabadiliko ya sheria ya uchaguzi yaliyofanyika kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Wasira arusha jiwe gizani wanaosema wanamdai Rais Samia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema si sahihi kumtarajia Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza matatizo yote ya wananchi, akisisitiza kuwa anayefikiri hivyo...
Wasira awang’ata sikio wakazi wa Geita kuhusu ardhi Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitashinda uchaguzi mkuu mwaka huu kwa kishindo katika mazingira huru na haki.
Wasira- CCM ipo tayari kukosolewa lakini... Mbogwe. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kipo tayari kukosolewa kinapokiuka kanuni za utawala bora huku kikionya wakosoaji kutotumia njia za kuondoa amani na umoja miongoni mwa wananchi. Kauli...
Wasira: Uhuru wa kutoa maoni si kutukana wengine Amesema kuwa uwepo wa maridhiano nchini hauwezi kuchukua nafasi ya sheria, na kwamba ni lazima sheria za nchi zizingatiwe na kufuatwa na kila mmoja bila kujali hali ya kisiasa au maelewano yaliyopo.
PRIME Chaumma yawaweka kati CCM, Chadema Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wale wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ‘wamevutana’ juu ya baadhi ya makada wa Chadema kutimkia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma).
Wasira kuendelea kuinadi CCM Nyasa leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, anatarajiwa leo, Juni 11, 2025, kuzungumza na makundi mbalimbali ya wananchi pamoja na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ikiwa...
PRIME Mapya yaibuka mikutano ya Chadema, CCM Vyama hivyo vimeendelea na ziara zao katika mikoa mbalimbali, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira anaendelea na ziara zake mkoani Ruvuma wakati Makamu Mwenyekiti wa Chadema – Bara, John...