Ndani ya boksi: ‘Usingo mamazi’ kumbe ni dili? ‘sijapentaa’!
Diamond Platinumz. Mfano halisi wa msela mwenye mafanikio makubwa sana. Mbali na mali nyingi alizonazo, pia ana makidi wanne aliopata kwa pisi kali tofauti tofauti. Kaanza Zari, Hamisa kisha...