Search

89 results for Edo Kumwembe :

  1. JICHO LA MWEWE: Kwa Fei Toto wa Stars wote tumevuna tulichopanda

    MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini.

  2. JICHO LA MWEWE: Simba imeingia katika mtego mgumu wa panya

    Masikitiko yao makubwa yatakuwa kwa John Bocco aliyepoteza nafasi tatu, huku moja ikiwa ya wazi zaidi baada ya kuwatambuka walinzi wa Horoya, lakini akashindwa kumchambua vyema kipa wao na...

  3. HISIA ZANGU: Bocco anatuchezea akili zetu dakika za majeruhi

    JINA? John Bocco. Umri? Miaka 33. Mahala pakuzaliwa? Dar es salaam. ndivyo mtandao wa Wikipedia unavyoeleza pindi linapokuja suala la wasifu wa John Bocco. Katika soka letu huwa tunaamini kwamba...

  4. Ni uzembe uliosababisha vifo 19

    Wadau waeleza upungufu mkubwa kwenye mfumo wa uokoaji nchini.

  5. Edo: Kuna mambo mawili uzembe na umaskini, sisi tumechagua vyote

    Na baada ya dogo kupewa Sh milioni moja, tujiulize. Tupo tayari kukabiliana na majanga ya usoni? Kwamba boti linaloenda Zanzibar ghafla limepata moto pale katikati watu watafikiwa kwa muda gani...

  6. HISIA ZANGU: Ronaldo haamini kama jua limezama magharibi

    MWISHO wa kila siku njema au mbaya, jua huwa linazama upande wa Magharibi. Linaacha rangi nzito ya kupendeza. Njano iliyochanganyika na nyekundu. Haijalishi ni siku uliyopokea habari ya msiba...

  7. Hatumuamini Juma Mgunda zaidi ya tulivyomuamini

    JUZI Kocha Juma Mgunda alikuwa na kazi ndogo tu ya kuiondoa Primeira de Agosto katika michuano ya Mabingwa wa Afrika na kisha kuiweka Simba katika hatua ya makundi. Subiri kwanza, ni kazi yake au...

  8. JICHO LA MWEWE: Yanga ilivyojiandaa ubatizo wa moto ugenini

    JUZI jioni Yanga iliwatoa majumbani mwao mashabiki zaidi ya 55,000 na kuwapeleka Benjamin Mkapa, kwa ajili ya kile walichokiita ‘kutengeneza’ hali safi ya hewa katika uwanja huo wa nyumbani...

  9. JICHO LA MWEWE: Mugalu sawa, lakini Kagere anatuachia mawazo mbadala

    NIMESIKIA Simba imeachana na Meddie Kagere. Huyu ni mmoja kati ya mastaa watatu ambao wameondoka katika kambi ya Simba pale Misri na kurejea nchini kwa ajili ya kukamilisha mazungumzo ya kuachana...

  10. JICHO LA MWEWE: Msela Manara angeweza kumfokea Tenga

    ALIWAHI kuniambia rafiki yangu fulani hivi akimzungumzia Leodeger Chilla Tenga, rais wa zamani wa TFF. “Anaweza hata kuongoza nchi. Ana hekima, hadhi na busara.” Ni kweli. Nyakati zimepita na...

Previous

Page 2 of 9

Next