Mahinyila asema ‘No reforms no election’ ni amri ya wananchi
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Deogratius Mahinyila amesema kauli mbiu ya ‘No reforms, no election’ (Hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi) ni amri ya wananchi walioiweka...