Sukari ya maisha ndiyo pingu ya maisha Kwa mujibu wa sheria na taratibu za sehemu kubwa ya dunia ikiwamo Tanzania, ndoa ni muungano wa hiari baina ya mume na mke. Hiari yao huwapeleka mbele ya imani au sheria ili kurasimisha jambo lao.
HEKAYA ZA MLEVI: Ongeza fedha upunguze kujieleza Unaijua silika ya kunguru kunyea nguo nyeusi? Ni makusudi baada ya kujua kinyesi chake ni cheupe, akaona kuwa kunyea nguo nyeupe hakumpi kiki. Nia yake ilikuwa ni kumshughulisha mwenye nguo bila...
HEKAYA ZA MLEVI: Ukitaka mengineyo oa wake wawili Shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza. Pale unapodhani kuwa una amani na usalama wa kutosha, tufani kuu na balaa linakuangukia usiwe na pa kukimbilia. Umejilaza kando ya bwawa la kuogelea...