Mwalimu jela miaka 30, viboko vinne kwa kubaka mwanafunzi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Mwalimu wa Shule ya Msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe, Juma...