Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1262 results for Herieth Makwetta :

  1. PRIME Hivi ndivyo bima ya afya kwa wote itakavyokuwa

    Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Irene Isaka alipofanya mahojiano maalumu na Mwananchi, baada ya kuwasilisha mada kuhusu mwelekeo wa bima ya afya kwa wote kwenye kongamano la...

  2. MAT yaitaka Serikali kuja na suluhisho ajira za madaktari, ubora wa huduma

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), kupitia mkutano wake mkuu, kimetoa maazimio manne ya kisera yanayolenga kuboresha sekta ya afya nchini.

  3. NIMR yabainisha Watanzania wengi hawajui matumizi vifurushi vya bima

    Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imesema changamoto kubwa inayowakumba wananchi wengi baada ya kupata bima za afya ni kutofahamu matumizi sahihi ya vifurushi vinavyotolewa...

  4. MSD yataja hatua za mageuzi katika uzalishaji wa ndani

    Bohari ya Dawa (MSD) imesema uwekezaji katika uzalishaji wa bidhaa za afya ndani ya nchi unahitaji kuimarishwa ili viwanda vizalishe zaidi kukidhi mahitaji ya nchi na kuliingizia Taifa fedha za...

  5. Dar, Njombe zaongoza kwa upasuaji wa kujifungua

    Wajawazito wanaoishi katika mikoa ya Njombe, Dar es Salaam na Iringa wametajwa kuvuka kiwango cha idadi ya kujifungua kwa njia ya upasuaji, hali inayoashiria baadhi yao wanafanyiwa bila sababu za...

  6. Madaktari wataka mwelekeo bima kwa wote, Serikali yatoa agizo

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimeitaka Serikali kutekeleza kwa umakini Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, ili kuwe na ubora wa huduma za afya kwa Watanzania wote katika upatikanaji, unafuu na...

  7. PRIME Kibarua kinachomsubiri Dk Kimambo Muhimbili

    Dk Kimambo ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Juni 16, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka awali, kabla ya uteuzi huo alikuwa akifanya...

  8. PRIME Huyu ndiye Dk Delilah Kimambo, Mkurugenzi mpya wa Muhimbili

    Dk Kimambo anachukua nafasi Profesa Mohammed Janabi ambaye alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Mei 18 na kula kiapo Mei 28,2025.

  9. Wazazi ‘ubize’ na simu unavyoathiri malezi, makuzi ya mtoto wako

    Hali imetajwa kuwa inaweza kuathiri maendeleo ya lugha kwa watoto wadogo, kwa kuwa wao hupata ujuzi wa lugha kupitia mazungumzo ya ana kwa ana, hivyo simu huchukua nafasi hiyo na kuchelewesha...

  10. PRIME Tumia njia hii kupata mtoto wa kike, kiume

    Dar es Salaam. Kila mzazi ana matamanio ya kumpata mtoto wa jinsi aipendayo awe wa kike au wa kime na wengi huhoji atafanyaje. Wataalamu wa afya wametaja mbinu za kisayansi za kupata mtoto wa...

Previous

Page 2 of 127

Next