Aliyejinyonga akidaiwa kumbaka mjukuu wake, aacha ujumbe mke na wanawe wasimzike Babu anayetuhumiwa kumbaka mjukuu wake wa miaka minane na kisha kujiua kwa kujinyonga baada ya mke wake kumfuma, aliacha ujumbe kwa mkewe huyo, Philipina Olomi pamoja na watoto wake sita...
Ajiua kwa kujinyonga ikidaiwa alifumaniwa akimbaka mjukuu Idadi hiyo ni ongezeko la waathirika 3,138 sawa na asilimia 25.8, huku makosa yenye idadi kubwa ya waathirika ni ubakaji (8,185), ulawiti (2,382), mimba kwa wanafunzi (1,437), kumzorotesha...
VIDEO: Mtoto anayelea wadogo zake watano akabidhiwa mjengo wa kisasa James ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Mamonjo, iliyopo wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro yeye na wadogo zake watano pamoja na mama yao mzazi walikuwa wakilala...
Matumaini kupata maji safi yarejea Mbokomu Wakazi zaidi ya 15,800 wa Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, ambao walikuwa wakikabiliwa na changamoto ya maji safi baada ya miundombinu ya huduma hiyo kusombwa na mafuriko Mei...
Kero ya maji yawatesa wanakijiji Korini Kusini Moshi Wananchi wa Kijiji cha Korini Kusini, kata ya Mbokomu Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kero ya upatikanaji wa maji safi na salama.
Adaiwa kumuua mama yake mzazi, kisa kugombania ardhi Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mkazi wa Kibosho Kirima, Wilaya ya Moshi, mkoani humo, Rose Apolinary Kimaro, (57) kwa tuhuma za mauaji ya mama yake mzazi, Anastazia Shiyo...
Aliyeomba Sh50 milioni za kupandikiza figo, bado ahitaji Sh41 milioni Hata hivyo, bado anahitaji Sh41 milioni ili kufanikisha matibabu hayo.
Wananchi Rombo waomba elimu, kinga dhidi ya Mpox Wananchi waliopo mpakani mwa nchi jirani ya Kenya na Tanzania, katika mipaka ya Holili na Tarakea, iliyopo Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kutoa elimu ya afya dhidi ya...
Usiyoyajua kuhusu Munishi, angulo lake "Nahuzuni moyoni, mimi siimbi nalia, namlilia Malebo, amekataa kuokoka, nilizoimba ni nyingi, nikimuonya Malebo, bado hajabadilika, sasa siimbi nalia"
Dagaa waadimika Moshi, walaji wahaha Moshi. Wafanyabiashara wa dagaa Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wameeleza sababu za kupungua kwa bidhaa hiyo kuwa ni ushindani wa wafanyabiashara wakubwa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya...