Search

153 results for Julieth Ngarabali :

  1. RC Kunege: Wekezeni kwenye kongani za viwanda

    Awali Meneja wa Kiwanda hicho cha chuma, Arnold Lyimo, amesema ujenzi umeanza Machi 2022 na kwamba watakamilisha kufunga mitambo April 2024, huku wakitegemea kuanza uzalishajimiezi miwili baadaye.

  2. Kamati ya Maafa Pwani yatenga maeneo wananchi kukimbia mvua za Elnino

    Siku chache zikiwa zimesalia Ili mvua za Elnino kuanza kunyesha katika mikoa 10 hapa nchini ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu kwa mujibu wa taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa watendaji mbalimbali...

  3. Polisi wakumbushwa utii, kuheshimu viapo

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Pius Lutumo, amewataka wakaguzi wa Polisi kuwa na utii na kuheshimu kiapo chao katika utendaji kazi wao kwenye sehemu zao za kazi.

  4. Pwani wasema upatikanaji rasilimali fedha, watu vitafanikisha utekelezaji mradi

    Wadau wa malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya Mtoto mkoani Pwani (MMMAM ) wamesema upatikanaji wa rasilimali za kutosha za fedha, watu na vifaa ni suala la muhimu zaidi katika kufanikisha...

  5. Mchungaji mbaroni kwa tuhuma za kumlipa Sh50,000 ‘mchawi feki’

    Jeshi la Polisi Mkoani Pwani linawashikilia watu wawili akiwemo Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Gospel Mission la Kibaha Loliondo, Emanuel Paul maarufu karata (35) kwa tuhuma ya kuleta...

  6. CCM yapata mfadhili kujenga ofisi

    Jumuiya tatu za CCM katika kata ya Kongowe mjini Kibaha zimepatiwa fedha pamoja na vifaa vya kujenga ofisi ili kuondokana na adha ya kutumia chumba kimoja kiasi cha kushindwa kutekeleza shughuli...

  7. Chanzo kukithiri ombaomba mitaani chatajwa

    Watu wenye ulemavu katika Halmashauri mbili ya Kibaha Mjini na Vijijini wamesema hawana uelewa kuhusu fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya makundi...

  8. Ridhiwani awaonya watendaji na fedha za Tasaf

    Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka watendaji wa Serikali wanaolipa fedha za Mfuko wa Kuondoa Umasikini (TASAF)...

  9. Wagonjwa wapya 4,200 TB wagundulika Pwani

    Mamlaka za afya mkoani Pwani zimefanikiwa kuwagundua wagonjwa wapya 4,200 wa kifua kikuu na kuwaanzishia matibabu katika kipindi cha mwaka 2022, hii ni sawa na ongezeko la asilimia 30 ya wagonjwa...

  10. Eneo korofi Kibaha Mjini lapatiwa ufumbuzi

    Hatimaye adha ya kutumia muda mrefu kusafiri kwa wakazi wa Boko timiza na Picha ya Ndege wilayani Kibaha Mjini inaelekea kuisha baada ya ujenzi wa kipande korofi cha mita 700 kutegemewa kuisha...

Previous

Page 2 of 16

Next