TPA yawataka wadau kujipanga utekelezaji tozo mpya Tanga. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imewataka wadau wa sekta ya usafirishaji na biashara kuanza kujipanga kwa utekelezaji wa Ada ya Uendelezaji wa Miundombinu Mipya ya Bandari...
RC Tanga ahimiza ulinzi wa watoto swala ya Eid Serikali mkoani Tanga, imetaka watoto wasimamiwe kuepusha madhara wanaposherehekea Sikukuu ya Eid.
Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI Asilimia 70 ya wagonjwa wanaohitaji huduma za matibabu ya moyo kutoka Kanda ya Kaskazini wanashindwa kufika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na changamoto za gharama za...
Doyo ampongeza Msajili kwa ‘kuilima’ barua CCM Katibu Mkuu wa National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ameipongeza Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa hatua ya kukiandikia barua Chama cha Mapinduzi (CCM) kijieleze kuhusu...
Kakao, stakabadhi ghalani vyakomboa wakulima Muheza Wakulima wa zao la kakao wilayani Muheza wameeleza namna mfumo wa stakabadhi ghalani ulivyobadilisha maisha yao kwa kuwapa soko lenye uhakika na bei nzuri tofauti na zamani walipokuwa wakitegemea...
Wanawake watakiwa kutumia jukwaa la kodi kuimarisha biashara zao Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga imewakutanisha wanawake wajasiriamali katika Kongamano la Jukwaa la Wanawake na Kodi kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu masuala ya ulipaji kodi...
Baraza la Madiwani Jiji la Tanga, RCC watunishiana misuli Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Tanga limeazimia kuwa vituo vya mabasi ya mikoani vilivyopo katikati ya jiji vihamishiwe kwenda Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kange kuanzia Julai mosi...