Hatua ngumu zinazoinyemelea Chadema Ingawa Chadema mara kadhaa imefafanua kuwa akidi ya kikao hicho ilitimia kwa kuwa hakikuwa cha uchaguzi wala kubadilisha sera, ofisi ya msajili imeweka ngumu, ikikataa kuwatambua, kusimamisha...
Wawakilishi walalama wananchi kutolipwa fidia wakipisha miradi Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesisitiza kuwa licha ya umuhimu wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa, ni lazima wananchi wanaoathiriwa na ujenzi wa miundombinu hiyo walipwe fidia zao kwa...
Sababu Dk Mwinyi kuteua wakurugenzi wapya Unguja, Pemba Mhandisi Zena amesema uteuzi huo unaanza rasmi leo, Mei 20, 2025.
Hamad Rashid ajitosa urais Zanzibar, kuchuana na Mwinyi, Othman Aliyekuwa Mwenyekiti wa Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed amechukua fomu kuwania urais Zanzibar, akieleza vipaumbele vyake ni kujikita kwenye kilimo, elimu...
PRIME Wakili aibua jambo kesi ya wanafamilia wa Balozi Rupia Nyumba hiyo ya ghorofa tatu iliyopo Kariakoo, katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Wazawa 10 wanaendelea kukimbiza Katika vitabu vya kumbukumbu za klabu kongwe hapa nchini, Simba na Yanga, kuna rekodi zinaonyesha timu hizo zimefika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mara moja kila upande.
PRIME Wazee Zanzibar wasimulia hali halisi ya Muungano Tanzania ilizaliwa Aprili 26, 1964, baada ya viongozi wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere wa Tanganyika na Sheikh Abeid Amani Karume wa Zanzibar, kuchanganya udongo wa pande zote mbili kama...
Ambulensi iliyobeba maiti yawaka moto Watu wanane waliokuwa wanakwenda makaburini kuzika pamoja na mwili wa marehemu wamenusurika kuteketea baada ya ambulensi walimokuwamo kuwaka moto.
PRIME Mawaziri wanne kubanwa bungeni Mawaziri wanaosubiriwa ni Mohamed Mchengerwa (Tamisemi), George Simbachawene (Utumishi na Utawala Bora), Profesa Kitila Mkumbo (Mipango na Uwekezaji) na Hamad Yusufu Masauni (Muungano...
11 wanusurika kifo nyumba ikiungua moto Pemba Watu 11 wa familia moja wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Unguja wamenusurika kifo baada ya nyumba yao kuungua moto.