Mkuranga yapata hati safi miaka tisa mfululizo, RC Kunenge atoa angalizo Wakati Halmashauri ya Mkuranga ikiwa imepata hati safi kwa miaka tisa mfululizo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani (RC), Abubakari Kunenge ametaka hati hizo ziendane na miradi inayowagusa wananchi moja kwa...
Ulinzi waimarishwa, maombi yafanyika mahakamani kesi ya Lissu Kesi hizo ambazo zinasikilizwa na mahakimu wawili tofauti zote zimepangwa kuendelea leo Jumatatu, Juni 16, 2025 lakini katika hatua tofautitofauti.
Bajeti katika mtazamo wa kijinsia Wanaharakati wa kutetea masuala ya kijinsia wamesema bajeti iliyowasilishwa bado haijazingatia mtazamo wa kijinsia huku wakisema ukuaji wa uchumi unaosemwa haundani na hali ilivyo mtaani.
Bodaboda wanavyoitazama Bajeti ya Serikali, watoa angalizo Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji wamepongeza hatua ya kupunguzwa gharama za leseni za pikipiki za biashara huku wakitaka mabadiliko katika upatikanaji wake.
Kigogo wa NCCR Mageuzi atimkia ACT -Wazalendo Amesema wakati umefika wa kuachana na siasa za kuwalaghai Watanzania.
Kamati ya Jafo yafunua kichaka cha Wachina Kariakoo Kamati ya kuangalia wageni wanaofanya biashara nchini, iliundwa Februari 5, 2025 na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo.
Wazee 700 wapatiwa bima ya afya Mkuranga, wenyewe waweka angalizo Ulega amesema kwa muda mrefu wazee hao wamekuwa wakilalamikia kupata tabu katika matibabu, hivyo ameona atoe bima hizo ambazo zitawafaa wao pamoja na wanafamilia wao watatu.
Polisi yasubiri maelezo ya Padri kitima iendelee na uchunguzi Kamanda Muliro amesema wakati tukio la kushambuliwa Padri Kitima lilipotokea ilikuwa vigumu mtu akiwa anaumwa ukaanza kutumia njia ya kutaka kupata maelezo kutoka kwake.
Waathirika mradi Bonde la Msimbazi watishia kwenda mahakamani Wakati wananchi waliopisha mradi wa Bonde la Msimbazi wakitishia kwenda mahakamani wakidai kutolipwa fidia ya ardhi kama inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria, Serikali imesema wanaostahili malipo ni...
Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka.