Ushiriki wa vyama vya siasa, fursa ya kuimarisha demokrasia Majukumu ya vyama ni kuhakikisha wananchi wanapata elimu sahihi na ya kina kuhusu umuhimu wa uchaguzi.
Ni muhimu wapigakura kujiandikisha mapema Uandikishaji wapigakura utafanyika kwa siku 10 na ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kwenye mchakato wa uchaguzi
Dk Biteko asisitiza maadili, uwezo wa uongozi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewatahadharisha watu wanaotumia fedha kupata uongozi, akisisitiza maadili na uwezo kama vigezo muhimu vya kuchagua viongozi bora.
Umuhimu wa wasimamizi wasaidizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Mwezi huu wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na wasimamizi wa vituo ambao ni nguzo muhimu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Novemba 27, 2024 watateuliwa na msimamizi wa uchaguzi.
Umuhimu wa wapigakura kufahamu majina na mipaka ya maeneo yao katika uchaguzi Ndani ya serikali za mitaa, uwajibikaji ni muhimu na mara nyingi huanza kwa wapigakura kujua wapi viongozi wao wanatoka na wapi wanaweza kutoa huduma.
Jukumu la wabunge, wasanii na wanahabari uchaguzi Serikali za mitaa Kupitia magazeti, redio, televisheni na mitandao ya kijamii, vyombo vya habari vinaweza kueneza ujumbe kwa haraka na kwa wigo mpana zaidi.
Sheria ndogo zinazokiuka sheria, Katiba zanyofolewa Amesema kifungu cha 26 cha sheria ndogo hiyo kinataja makosa yanayokatazwa, likiwemo kosa kwa mtu yeyote kufanya shughuli za kisiasa ikiwa ni pamoja na kupandisha bendera ya chama cha siasa.
Mbunge Mabula aomba radhi bungeni, afuta maneno yake Baada ya Mabula kuomba radhi, Spika amesema hoja hiyo sasa imefungwa.
Serikali yaondoa kifungu kuwabana wafanyabiashara kubandika bei za bidhaa Dk Jafo amesema miongoni mwa marekebisho ni wauzaji wa bidhaa na huduma watalazimika kuanza kuonyesha bei ya bidhaa na huduma.