Harry Kane, Kate penzi la kidato kimoja! Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Bayern Munich, Harry Kane ana historia ya mapenzi isiyo ya kawaida ukilinganisha na wanasoka wengi wa daraja lake, na historia hiyo inakamilishwa na Kate...
Albamu 10 kali kutoka Bongo Records Kabla ya P-Funk Majani kuwa mtayarishaji wa muziki mwenye mafanikio makubwa, awali kabisa alikuwa ni rapa na DJ. Hiyo ilikuwa mwanzoni mwa miaka 1990 wakati huo alikuwa anaitwa DJ Skills of Pain...
Young Lunya katoweka na ‘Mbuzi’ wake! Rapa Young Lunya amebakiza siku chache tu kutimiza mwaka mmoja tangu alipotoa albamu yake, Mbuzi (2024) na tangu wakati huo amekuwa kimya bila kutoa kazi yake binafsi kwa ajili ya mashabiki wake...
Selena Gomez aeleza alivyozimika na Eminem, Ice Cube Mwimbaji wa Marekani, Selena Gomez amefunguka jinsi alivyozipenda nyimbo za Eminem, rapa aliyechukua usikivu wa wengi duniani kupitia Extended Playlist (EP) yake, The Slim Shady (1998) baada ya...
Watimkia ughaibuni na sanaa yao Watu kuhama nchi zao kwa kipindi fulani na kwenda kuishi ughaibuni sio jambo geni kwani ni utamaduni wa miaka mingi, utafutaji wa fursa za kimaisha, masomo na familia kunatajwa kuchochea hilo kwa...
Mondi kawabeba sana wasanii hawa kimtindo! Sababu ya ushawishi na ukubwa wa chapa yake katika muziki, wasanii wa ndani na nje wamekuwa wakipigana vikumbo ili kufanya kolabo na Diamond Platnumz maana kila ambaye alipata nafasi hiyo, basi...
Kisa cha Beyonce kuzabwa makofi na mama yake Mwimbaji Beyonce katika kitabu chake, Become Beyonce: The Untold Story (2015) amefichua jinsi mama yake mzazi, Tina Knowles alivyokomesha mara moja mahusiano yake na mvulana, Lyndall Lock wakati...
Kama sio mapenzi usingesikia nyimbo hizi Bongo Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa. Katika wimbo huo ulioshika namba moja chati za YouTube kwa Tanzania...
Didi Stone: Binti wa Koffi Olomide mwenye nyota zake Ndoa ya tatu ya gwiji wa muziki Afrika kutokea DR Congo, Koffi Olomide na mwanamitindo wa zamani wa Ufaransa, Aliane ambayo ilifungwa huko Paris hapo Aprili 1994, ina mengi mazuri tunayoweza...
Mastaa Bongo katika mtihani wa Kariakoo Derby Mastaa hao ni wale wanaoshabikia timu hizo na hata kutumbuiza katika matamasha yao ambayo yamekuwa yakivutia idadi kubwa ya watu kila mwaka kutokana na burudani na ubunifu unaopatikana ndani yake.