Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

409 results for Peter Akaro :

  1. Selena Gomez aeleza alivyozimika na Eminem, Ice Cube

    Mwimbaji wa Marekani, Selena Gomez amefunguka jinsi alivyozipenda nyimbo za Eminem, rapa aliyechukua usikivu wa wengi duniani kupitia Extended Playlist (EP) yake, The Slim Shady (1998) baada ya...

  2. Watimkia ughaibuni na sanaa yao

    Watu kuhama nchi zao kwa kipindi fulani na kwenda kuishi ughaibuni sio jambo geni kwani ni utamaduni wa miaka mingi, utafutaji wa fursa za kimaisha, masomo na familia kunatajwa kuchochea hilo kwa...

  3. Mondi kawabeba sana wasanii hawa kimtindo!

    Sababu ya ushawishi na ukubwa wa chapa yake katika muziki, wasanii wa ndani na nje wamekuwa wakipigana vikumbo ili kufanya kolabo na Diamond Platnumz maana kila ambaye alipata nafasi hiyo, basi...

    DIAMOND Pict
  4. Kisa cha Beyonce kuzabwa makofi na mama yake

    Mwimbaji Beyonce katika kitabu chake, Become Beyonce: The Untold Story (2015) amefichua jinsi mama yake mzazi, Tina Knowles alivyokomesha mara moja mahusiano yake na mvulana, Lyndall Lock wakati...

  5. Kama sio mapenzi usingesikia nyimbo hizi Bongo

    Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa. Katika wimbo huo ulioshika namba moja chati za YouTube kwa Tanzania...

  6. Didi Stone: Binti wa Koffi Olomide mwenye nyota zake

    Ndoa ya tatu ya gwiji wa muziki Afrika kutokea DR Congo, Koffi Olomide na mwanamitindo wa zamani wa Ufaransa, Aliane ambayo ilifungwa huko Paris hapo Aprili 1994, ina mengi mazuri tunayoweza...

  7. Mastaa Bongo katika mtihani wa Kariakoo Derby

    Mastaa hao ni wale wanaoshabikia timu hizo na hata kutumbuiza katika matamasha yao ambayo yamekuwa yakivutia idadi kubwa ya watu kila mwaka kutokana na burudani na ubunifu unaopatikana ndani yake.

  8. Kuna tofauti ndogo kati ya Mondi na Jay Z!

    Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewahi kumtaja rapa wa Marekani, Jay Z kama kielelezo kizuri kwake (role model) upande wa biashara na amekuwa akivutiwa na mtindo wake wa maisha wa...

    DIAMOND Pict
  9. Kabla ya ustaa Chid Benzi alikuwa msaidizi wa Professor Jay

    Haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi kutoka kuwa msaidizi wa Professor Jay jukwaani hadi kuishika Bongo Fleva kwa wakati wake na kuwakilisha vizuri kule anapotokea kupitia muziki wake wa Hip Hop...

  10. Ed Sheeran apeta tena mahakamani kesi ya hakimiliki

    Mahakama ya juu nchini Marekani imekataa kusikiliza kesi iliyodai kwamba wimbo wa Ed Sheeran kutokea Uingereza, Thinking Out Loud (2014) umekiuka haki miliki ya wimbo wa Marvin Gaye, Let’s Get It...

Previous

Page 2 of 41

Next