BoT yazindua ripoti ufuatiliaji fedha za Diaspora, mchango wake huu hapa Wakati Nigeria na Kenya zikiongoza kwa kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka kwa raia wao walioko ughaibuni (Diaspora), Tanzania imezindua ripoti ya kufuatilia fedha hizo zinazoingia nchini...
Yanga yafuzu kibabe 32 bora Shirikisho ikiipa mkono Copco Yanga imewafuta machozi mashabiki wake ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Copco ya Mwanza leo Januari 26, 2025 katika Uwanja wa KMC...
PRIME Tuchangamkie fursa na 'maokoto' halali Mwamko wa kuchangamkia fursa za biashara, uzalishaji na kujiajiri umekuwa mkubwa katika jamii zetu, hususan katika zama hizi za mitandao ya kijamii. Wito wa kutafuta “maokoto” umekuwa kama wimbo...
Kwa nini Watanzania huchelewa kufanya manunuzi? Katika msimu huu wa sikukuu na mapumziko unapoelekea mwisho, kwa siku chache zilizobakia, wengi watajikuta tena wakiwa katika harakati za kwenda masokoni kununua mahitaji ya shule kwa muhula mpya...
Nini kifanyike kudhibiti uchakavu wa fedha? Katika nchi ambazo matumizi ya fedha taslimu bado ni muhimu kwa shughuli za kila siku, uchakavu wa fedha unaweza kuathiri shughuli za kiuchumi. Kwa mfano, fedha zilizochakaa, zilizopasuka, au...
Umuhimu wa akiba Januari Kila ifikapo kipindi cha mwanzo wa mwaka ni wakati ambao watu wengi wanapitia changamoto ya kifedha na wengine kujikuta katika hali ngumu kimaisha kutokana na kuongezeka mahitaji ya kifedha...
Sukuk, dhamana za kisheria mbadala wa hati fungani Hii inamaanisha kuwa wawekezaji wana haki ya kupokea moja kwa moja mapato yanayotokana na umiliki wa mali au uendeshaji wa miradi hiyo.
Uzalishaji chakula ulivyosaidia kupunguza mfumuko wa bei 2024 Kiwango cha mfumuko wa bei kilichokuwapo Oktoba 2023 ndicho kikubwa kuwahi kutokea kwa miezi 12 mfululizo.
PRIME Mifuko ya pamoja uwekezaji inavyofanya kazi, faida zake Fikiria wewe na majirani zako mnataka kununua kipande cha ardhi kwa ajili ya kilimo, lakini hakuna mmoja wenu mwenye pesa za kutosha kufanya hivyo peke yake. Hivyo, mnaamua kuchangishana ili...
PRIME Haya hapa mafanikio ya kudhibiti mfumuko wa bei Tanzania Katika ulimwengu wa uchumi wenye mabadiliko yasiyotabirika, Tanzania imefanikiwa kwa jambo la kipekee, imeweza kudhibiti mfumuko wa bei kwa kiwango cha kuridhisha. Hadi Septemba 2024, mfumuko wa...