Sungusungu atupwa jela miaka minane kwa kuua bila kukusudia
Geita. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, imemhukumu Majid Badru, Mtemi wa Sungusungu, kifungo cha miaka minane jela baada ya kukiri kumuua bila kukusudia Adil Jumanne, mkazi wa Mtakuja katika...