Wanafunzi, vijana 252 wenye ualbino waweka kambi Mwanza
Kambi ya wanafunzi hao wanaofadhiliwa na Shirika la Under the Same Sun (UTSS) imeanza jana Agost 5 na kutarajiwa kufungwa Agost 12, 2023 itakayohusisha upimaji wa afya, kliniki ya ngozi, kliniki...