Mzimu wa mapinduzi ya kijeshi unavyoitafuna Afrika Mapinduzi ya Rais wa Gabon, Ali Bongo yameendeleza vuguvugu la mapinduzi katika ukanda wa Afrika Magharibi tangu mwaka 2020.
Samia abadilisha mawaziri, makatibu wakuu na manaibu Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu, huku akianzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na badala yake...
Tamu, Chungu za makonda wa kike mabasi ya abiria Safari yangu inaanza saa 11 alfajiri ya Julai 18 mwaka huu, kutoka nyumbani Tabata kuelekea Shekilango jijini Dar es Salaam katika kituo kidogo cha mabasi yanayokwenda mikoani.
Niger yawatimua mabalozi wa nchi nne ikiwemo Ufaransa Hata hivyo Ubalozi wa Ufaransa nchini Niger umelikataa tangazo hilo ukisema kuwa Paris, hautambui mamlaka ya watawala wa kijeshi.
Waziri Mchengerwa azindua bodi mbili za wakurugenzi Tanapa, TTB Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua bodi mbili za wakurugenzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) pamoja na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), alizoziteua hivi...
PRIME Mwanamtwa Kihwelo: Alishindwa kumzika baba, mtoto kisa mpira Jina la Kihwelo si geni kwenye masikio ya wapenda soka kwani inawakumbusha wachezaji watano waliotoka katika familia moja na kuzungumzwa katika soka la Tanzania kuanzia mtoto wa kwanza hadi wa...
PRIME Ni hesabu tu Ligi Kuu Bara ikianza Pazia la Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/2024 linafunguliwa leo kwa mechi tatu katika viwanja na miji mitatu tofauti huku hesabu ya pointi tatu za mwanzo ikiwa ni kipaumbele cha timu.
Kutana na mtu mwenye kipawa, anayewasiliana na wanyama Abeid, mwenye umri wa miaka 46, amejaaliwa kuwa na kipawa cha kuzungumza, iwe ni kwa ishara au maneno na wanyama, na hasa punda wake.
PRIME Mikakati ya bosi mpya wa Tanroads hii hapa Ni miezi mitatu imepita tangu Rais Samia Suluhu Hassan amteue Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Mohamed Besta, Julai 13 mwaka huu.
PRIME Simba Day 15 za moto , huku nyota wa Uganda, Emmanuel Okwi na Joseph Owino wakisajiliwa kwa mara ya kwanza. 2010- Simba 0-0 Express Mwaka wa pili Simba iliadhimisha kwa suluhu dhidi ya Express ya Uganda na mechi...