Mwanafunzi mbaroni tuhuma mauaji ya mwenzake, mwingine ajinyonga
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Juni 19,2025 na Kamanda wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro tukio hilo lilitokea jana Jumatano Juni 18, 2025 katika shule hiyo iliyopo Kawe Kinondoni.