Search

2175 results for Waandishi Wetu :

 1. PRIME Chadema yafunga jalada kina Mdee

  Wabunge 19 wa viti maalumu walifungua shauri mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama Chadema, wakidai hawajasikilizwa

 2. Simanzi tupu mapokezi ya Lowassa

  Nyuso za majonzi zilitawala na machozi kuwatoka wanakijiji wa eneo hilo, pale walipoona msafara na hasa gari lililobeba mwili wa Lowassa likipita

 3. NSSF yalipa mafao ya Sh56.68 bilioni kwa miezi sita

  Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umelipa Sh56.689 bilioni za mafao ya wastaafu katika kipindi cha miezi sita kuanzia Julai hadi Desemba 2023.

 4. Maandamano ya Chadema Mwanza mguu sawa

  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo Februari 15, 2024 amewaongoza wafuasi na wapenzi wa chama hicho katika maandamano yanayofanyika katika maeneo ya Buhongwa, Igoma na Ilemela Kanisani...

 5. Sukari bado kivumbi, watu wanunua kwa foleni

  Kupitia taarifa yake hiyo, Waziri Bashe alisema uzalishaji wa sukari nchini umeshuka kuanzia Novemba 2023 kutokana na mvua nyingi zilizonyesha na kusababisha kushindwa kuvunwa miwa na viwanda...

 6. Profesa Jay Foundationa yakusanya Sh250m kusaidia wenye uhitaji wa matibabu

  Taasisi ya Profesa Jay imekusanya zaidi ya Sh250 milioni kwa ajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wasio na uwezo wanaosumbuliwa na magonjwa yasiyoambukiza, yakiwemo ya figo.

 7. Wauza gesi za kupikia kuongeza nguvu elimu nishati safi

  Umoja wa wafanyabiashara wa gesi za Mitungi ya majumbani nchini (TZLPGA), umedhamiria kutoa elimu na taarifa sahihi kuhusu matumizi mbadala ya nishati ya kupikia.

 8. Paroko mbaroni akidaiwa kughushi, kujipatia Sh800 milioni

  Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda.

 9. Aliyoyasema Kikwete nyumbani kwa Lowassa

  Alifika hapo kuhani msiba wa waziri mkuu huyo wa zamani, huku akieleza mengi ikiwamo namna walivyoanza kushirikiana

 10. Nondo za Zitto akielekea kung’atuka ACT-Wazalendo

  Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuna masuala ambayo yakiendelea kufumbiwa macho yanaweza kusababisha madhara kwa Taifa.

Previous

Page 2 of 218

Next