Serikali ya Kenya yapinduliwa Agosti-6 Katika toleo lililopita tuliona namna ambavyo wapanga njama za mapinduzi hawakuwa na tarehe maalumu ya kufanya mapinduzi hayo lakini baada ya uvumi kusambaa kwamba Wakikuyu walikuwa wakipanga...
Mipango ya kupindua serikali ya Moi yaanza-5 Katika matoleo yaliyopita tuliangalia namna baadhi ya wanasiasa wa Kenya, wanafunzi wa elimu ya juu na wahadhiri wa vyuo walivyoanza kupata misukosuko kila walipoikosoa Serikali ya Rais Daniel...
Njia ya kuelekea kumpindua Moi-4 Katika toleo la jana tuliona jinsi utawala wa miaka minne ya Rais Daniel arap Moi ulivyokabiliwa na maandamano ya wanafunzi na wapinzani wa kisiasa dhidi yake ndani na nje ya Bunge.
Rais Moi na vuguvugu la kisiasa na wananchi-3 Huko Kenya Agosti 1, 1982 kulifanyika jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililoongozwa na mwanajeshi wa cheo cha chini, Hezekiah Ochuka aliyedumu kama Rais wa nchi hiyo kwa takribani saa sita tu.
Mtangazaji alipotakiwa kutangaza Ochuka ni Rais-2 Jana, tulisimulia jinsi Serikali ya Daniel Arap Moi wa Kenya ilipotiwa majaribuni baada ya baadhi ya wanajeshi wa vyeo vya chini kufanya jaribio la kumwondoa madarakani.
Jaribio la askari wa KAF kumpindua Rais Moi -1 Jumapili ya Agosti 1, 1982 kulifanyika jaribio la mapinduzi ya kijeshi Kenya ili kuipindua Serikali ya Rais Daniel Arap Moi.
Hukumu yabatilishwa uhai umeshapotea-7 Katika sehemu hii ya mwisho ya mfululizo wa makala hizi za ‘Hukumu ya Machozi, Damu’, miaka 70 baada ya mtoto George Stinney kuhukumiwa kifo na kunyongwa, mahakama nchini Marekani ilibaini kuwa...
Mawakili wa utetezi wasiomsaidia mshtakiwa-5 Katika toleo lililopita tuliendelea kusoma kisa cha kweli kinachomhusu mtoto Mmarekani mweusi, George Stinney (14) aliyenyongwa nchini, Juni 16, 1944, baada ya kutuhumiwa kuwaua wasichana wawili...
Maandalizi ya kesi dhidi ya George Stinney Katika matoleo yaliyopita ya mfululizo wa makala hizi, tuliona kuwa Ijumaa ya Juni 16, 1944, Jimbo la South Carolina lilimnyonga George Stinney (14), aliyepatikana na hatia ya kumuua Betty June...
Tuhuma za Ramaphosa zawagawa Afrika Kusini Wapo wanaotaka Rais Cyril Ramaphosa ajiuzulu huku wengine wakiziona tuhuma hizo zinalenga kumchafua kisiasa.