PRIME M23 walivyosaini mkataba wa amani na kuugeuka-4 Pia, tuliona baada ya juhudi za jumuiya ya kimataifa, jioni ya Desemba 12, 2013, DRC ilisaini mkataba wa amani na M23 uliolenga kuleta maridhiano, uthabiti na maendeleo eneo la mashariki mwa...
PRIME Rwanda ilivyoanza kuhusishwa na M23 mwanzoni-3 Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
PRIME Hili hapa chimbuko la M23 -2 Hata hivyo, pamoja na kundi hilo la waasi kuanzishwa tarehe hiyo, makeke yalianza kuonekana zaidi miezi miwili baadaye, Juni 6, 2012.
PRIME DRC katika hali tete na fukuto la M23 kuitaka Kinshasa M23 imepigana kwa miaka mingi kudhibiti migodi yenye utajiri mkubwa wa dhahabu na platinamu inayopatikana mashariki mwa DRC, ambapo vikundi vingine vya waasi kutoka Rwanda na Uganda pia...
M23 inavyowaingiza vitani Kagame, Ramaphosa Mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeendelea kuibua mvutano mkubwa kati ya viongozi wa Afrika, hususan Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais...
PRIME Huyu ndiye John Heche aliyevaa viatu vya Lissu Katika kipindi cha utumishi wake bungeni, Heche alijitokeza kwa kuwasilisha maswali 34 na michango 26 katika vikao vya Bunge.
PRIME VIDEO: Huyu ndiye Tundu Lissu, mwenyekiti mpya wa Chadema Mbowe amekuwa wa kwanza kukiri kushindwa na kumpongeza Lissu kupitia mtandao wa X.
PRIME Mfahamu Wasira anayevaa viatu vya Kinana CCM Wasira alianza siasa akiwa na miaka 25, alipoteuliwa kuwa mbunge wa Mwibara mwaka 1970.
PRIME Siri kuangushwa kwa utawala wa Rais Assad Syria Familia ya Assad imeliongoza taifa hilo kwa zaidi ya miongo mitano, huku serikali zilizoongozwa na wanafamilia hiyo zikitawaliwa na rushwa na ukandamizaji wa demokrasia na matumizi ya mabavu...
Siri muungano wa upinzani kushinda uchaguzi Mauritius Kiongozi wa upinzani nchini Mauritius, Navin Ramgoolam ameibuka na ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Bunge nchini humo.