Kero nne kutikisa ziara ya Mwigulu Kilimanjaro Wakati Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, akitarajiwa kuanza ziara ya siku nne mkoani Kilimanjaro kuanzia kesho, Februari 18, baadhi ya wananchi wa mkoa huo wameeleza matarajio yao juu ya masuala...
Wananchi 3,498 wa Kijiji cha Ghona wasogezewa huduma za afya Wananchi wa kijiji cha Ghona, kata ya Kahe Mashariki, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea zahanati katika kijiji chao iliyogharimu zaidi ya Sh110 milioni.
Aliyemlawiti mtoto wa miaka mitano akwaa kisiki Mahakama Kuu Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imebariki adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa mkazi wa Arusha, Nasibu Kilalo aliyohukumiwa kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume aliyekuwa na umri wa miaka mitano...
CCM Moshi Vijijini yasisitiza umoja, mshikamano kwa viongozi wake Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro, kimesema hakitamvumilia kiongozi yeyote ndani ya chama hicho atakayeleta mpasuko.
Sh7 bilioni kuweka changarawe barabara za Moshi Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) imeanza utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Spencon–Mabogini–Kahe Chekereni yenye urefu wa kilomita 31.25 kwa kiwango cha...
Wanafunzi wanne wajeruhiwa ajalini, 16 wakinusurika Majeruhi hao wamepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Mawenzi) kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.
Madiwani Rombo wataka kondomu ziongezwe kukabili maambukizi ya Ukimwi Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, wamesema licha ya jitihada zinazoendelea za kutoa elimu kuhusu kujikinga na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), bado kuna haja...
Wagonjwa 11 wa tezi dume watibiwa kwa teknolojia ya mvuke KCMC Upasuaji huo wa kitaalamu, unaotumia muda wa dakika 15 hadi 20, umefanyika kwa mara ya kwanza hapa nchini katika hospitali hiyo, na unatajwa kuwa ni moja ya mafanikio makubwa katika sekta ya afya.
Walemavu 110 kukutanishwa Kilimanjaro usiku wa ‘Night to shine’ Wakati jamii ikitakiwa kuwaibua na kutowaonea aibu watu wenye ulemavu nchini, Shirika la New Life Foundation mkoani Kilimanjaro limepanga kuwakutanisha walemavu 110 mkoani humo kama ishara ya...
Serikali kurejesha betri 474 za taa za barabarani Moshi Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, imeanza mpango wa kurejesha betri zaidi ya 474 za taa za barabarani zilizoharibiwa na...