Jennifer Lopez apata kiota kipya Mwimbaji wa Marekani, Jennifer Lopez a.k.a J.Lo anaripotiwa kununua nyumba mpya yenye thamani ya Dola 18 milioni ikiwa ni miezi michache baada ya kukamilika kwa mchakato wa talaka kutoka kwa...
Upande huu Joh Makini ana dunia yake! POPOTE duniani muziki wa Hip Hop na RnB unapokutana inazaliwa ladha moja ya kipekee masikioni mwa msikilizaji na umekuwa ni utamaduni wa miaka mingi kwa wasanii wanaofanya aina hizo za muziki...
Je, Hip Hop Bongo imekwama? Baada ya rapa aliyetamba na kundi la Nako 2 Nako Soldiers na sasa Weusi, Lord Eyes akudai muziki wa Hip Hop Bongo kuna sehemu umekwama, wasanii wenzie wamejibu kauli hiyo.
Huyu ndiyo mtangazaji wa kwanza kutangaza Bongo Fleva redioni Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, tasnia ya burudani inaendelea kukua kwa kasi, kutokana na kuwepo kwa vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii.
Kwa mastaa hawa ni zaidi ya mahusiano Katika tasnia ya burudani Bongo hasa upande wa muziki, kuna 'couple' nyingi za mastaa ambazo mahusiano yao wamekuwa na nguvu kubwa ya ushawishi kitu kinachorahisisha kukubalika kwa kazi zao kwa...
Nikki wa Pili alivyoibadili ndoto ya Dayna Nyange Nyimbo zake za mwanzo kama Mafungu (2009) na Nivute Kwao (2011) ndizo zilimpatia umaarufu kimuziki Dayna Nyange na hadi sasa anaendelea na kazi yake hiyo ya kutoa burudani kwa mashabiki huku...
Wasanii wanalinda vipi soko jipya la Albamu? Baada ya Darassa kuachia albamu yake ya pili, Take Away The Pain (2025), naye Lady Jaydee ameweka wazi kuwa Juni atatoa albamu ambayo itakuwa ya 10 kwake ikienda sambamba na kuadhimisha miaka...
Diamond, S2kizzy na Rayvanny wakikutana lazima haya yatokee Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu na zaidi iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi katika mtandao wa...
Sababu John Legend kufanya kazi na Lauryn Mwanamuziki wa Marekani, John Legend (46) amesema kipindi anarekodi na Lauryn Hill (46) alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu na hakutegemea kama kazi hiyo ingejumuishwa katika albamu ya kwanza...
Sugu: Msanii wa kwanza Bongo kumiliki Honda Accord Inspire Msanii wa Hip Hip Bongo na Mwanasiasa kwa sasa, Joseph Mbilinyi 'Mr. II 'Sugu' alitoka rasmi kimuziki mwaka 1993, hivyo ana miaka 32 katika tasnia ambayo anajivunia kwa kufanikisha kile...