Simba, Pamba zatinga 16 bora kibabe Kombe la CRDB Simba imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya leo, Jumanne Machi 11, 2025 kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
Simba kuivaa TMA hatua ya 32 bora FA Baada ya kushindwa kuchezwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo wikiendi iliyopita dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara, leo jioni Simba inatarajiwa kushuka uwanjani kuvaana na TMA Stars ya Arusha ukiwa...
PRIME Profesa Sarungi atakavyoishi kwenye kumbukumbu za watu Shuhuda za huduma za matibabu, hasa za kuwaunganisha mifupa Watanzania mbalimbali, zinamfanya Profesa Philemon Sarungi aendelee kuishi mioyoni mwa watu, wakati leo Jumatatu, Machi 10, 2025...
PRIME Aliyemtoa utumbo mpenzi wake kutumikia kifungo cha miaka saba Kulingana na ushahidi wake, sio polisi walimtoa kwenye gari bali ni shemeji yake alifanya hivyo na kumpeleka hadi jengo la hospitali kwa matibabu.
Ligi Kuu Bara leo ni mechi za kimkakati LIGI Kuu Bara imeanza kuchangamka kwani ngwe ya lala salama imezifanya kila timu iingie uwanjani ikiwa na mkakati mkali sana kulinganisha na ilivyokuwa awali.
Arajiga abebeshwa zigo la Yanga, Simba Jumamosi Dar es Salaam. Ahmed Arajiga ataandika historia mpya ya kuwa refa pekee aliyewahi kuchezesha mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu za watani wa jadi Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ baada ya...
PRIME MZEE WA FACT: Dharau za Carragher kwa AFCON ni muendelezo wa ukoloni Kauli hii ilikuja kutokana na mjadala wa Mohamed Salah kuwa na uwezekano au la, wa kushinda tuzo ya Ballon d’Or kutokana na kiwango chake cha mwaka huu hadi sasa.
PRIME Kocha aibua mpya ishu ya Che Malone, Camara Simba inaenda katika mchezo huo ikiwa na mwenendo mzuri ndani ya ligi baada ya kucheza mechi 21 na kukusanya pointi 54 katika nafasi ya pili.
Arajiga, Kayoko wapigwa msasa wa VAR Waamuzi 20 wakiwamo maarufu kama Ahmed Arajiga, Herry Sasii, Ramadhani Kayoko na Tatu Malogo, wanatarajiwa kuingia darasani kuanzia kesho Jumatatu kwa ajili yua kupigwa msasa juu ya...
PRIME Nje ya siasa, Lissu humwambii kitu kwa Yanga, ugali Mwanasiasa huyo machachari, tofauti na alivyozoeleka katika majukwaa ya kisiasa, anasema akiwa nyumbani ni baba wa kawaida anayependa kuipikia chakula familia yake.