INEC yatoa neno kwa mawakala wa vyama vya siasa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa, ingawa mawakala wa vyama vya siasa wataruhusiwa kuwepo kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura wakati wa uboreshaji wa daftari la kudumu la...
Mgombea wa Chadema aliyeenguliwa ashinda uenyekiti wa kijiji Katika matokeo hayo mgombea huyo wa Chadema anaonekana kupata kura 428 huku wa CCM akipata kura 408.
Wasemavyo wapiga kura Mkoa wa Kilimanjaro Kilimanjaro. Wakati kazi ya kupiga kura ikiwa imemalizika katika vituo vya kupigia kura Mkoani Kilimanjaro na maeneo mengi nchini, baadhi ya wapigakura mkoani hapa wameeleza changamoto...
Ummy, madaktari wamlilia Dk Ndugulile Dk Ndugulile (55), aliyekuwa mbunge wa Kigamboni, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, 2024 nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameeleza hayo...
Kamati kuchunguza sakata la wanafunzi 15 wanaodaiwa kuchoma moto shule Siha Timu inayochunguza tukio la wanafunzi 15 wa Shule ya Sekondari Sanya Day, Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro waliokamatwa kwa madai ya kufanya vurugu, imeanza uchunguzi wake huku wanafunzi hao...
Mwenyekiti Chadema Kilimanjaro aachiwa kwa dhamana Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja ameachiwa kwa dhamana. Mgonja alikamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro jana Jumatatu...
Polisi Kilimanjaro yakiri kumshikilia Mwenyekiti Chadema mkoa Aidha, amesema mtuhumiwa anachukuliwa maelezo ili hatua zingine za kisheria ziweze kufuata.
Polisi Kilimanjaro yawashikilia wawili kwa tuhuma za mauaji Alifariki Novemba 17 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC.
CCM yajinadi kwa miradi ya maendeleo, Chadema ikianzisha ‘Operesheni Ondoa Mizigo’ Wakati baadhi ya vyama vya siasa vikizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, mkoani Kilimanjaro, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejinadi kwa kutumia miradi ambayo imetekelezwa kwa kipindi...
VIDEO: Ukuta wakatisha maisha ya mwanafunzi shule ikibomolewa Moshi Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kisarika iliyopo Uru, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Manuari Agusti (16) amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa Shule ya...