Anayedaiwa kuwachapa fimbo wanafunzi wa madrasa kortini
Mwalimu huyo amefikishwa mahakamni hapo leo Jumatano, Februari 19, 2025 na kusomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Rabia Ramadhani akisaidiana na Nicas Kihemba, mbele ya Hakimu...