Pacha waliotenganishwa waruhusiwa kuondoka Muhimbili Kwa mujibu wa taarifa ambazo Mwananchi imezipata, watoto hao wameanza kujengewa nyumba mjini Igunga na msamaria mwema ambaye hajataka kutajwa jina.
Muswada kuifumua NHIF watua bungeni Lengo la Serikali kuwasilisha muswada huo ni kuoanisha shughuli za mfuko huo na Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI).
Fanya haya kukabili ongezeko la joto Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ikisema vipindi vya ongezeko la joto vinatarajiwa kuendelea kujitokeza Februari mwaka huu, wataalamu wa afya wameshauri mambo ya kuzingatia katika...
PRIME Waathirika USAID wasimulia machungu uamuzi wa Trump Baadhi ya watumishi waliofanya kazi chini ya miradi ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), wamesema hawakupata mishahara ya Januari hali iliyowaingiza kwenye ugumu...
Jinsi ya kushinda hamu ya kuvuta sigara, shisha baada ya kuacha Miongoni mwa watu wanaopata wakati mgumu kuacha uraibu ni pamoja na wavutaji wa sigara na shisha.
PRIME Fahamu maumivu ya kichwa yanayozidi uchungu wa uzazi, risasi Utafiti wa uliofanywa nchini Marekani umegundua kuwa maumivu hayo ni makali zaidi kuliko maumvu ya uchungu wa uzazi, majeraha ya risasi na mivunjiko ya mifupa.
PRIME Makosa haya ya ulalaji yanagharimu afya yako Miongoni kwa makosa tunayofanya katika kulala na hivyo kuweka afya zetu shakani ni pamoja na mitindo ya kulala, huku mtindo wa kulala chali ukitajwa kama mtindo unaotakiwa kuepukwa.
PRIME Sababu vijana kukwepa kutumia kondomu Wakati Serikali ya Tanzania ikihamasisha jamii kutumia kondomu, kama mojawapo ya njia za kujikinga na maradhi yakiwamo ya zinaa, imebainika vijana wengi hawana mwamko wa kutumia kinga.
PRIME Amri ya Trump yang’ata, MDH yapeleka wafanyakazi likizo Wafanyakazi wanaohusika na waraka uliotolewa, ni wale waliofanya kazi za miradi kupitia mikataba katika taasisi za afya, hospitali na miradi ya afya jumuishi.
Mtanzania ashinda ukurugenzi jumuiya ya afya ECSA-HC Ushindi huu unaifanya Tanzania kuthibitisha uwepo wa wataalamu wake wenye sifa za kushika nafasi za uongozi wa kimataifa. Ni mara ya pili kwa Mtanzania kushika wadhifa huu, baada ya Dk Winny...