Mwenyekiti asimulia mtuhumiwa wa mauaji alivyomueleza tukio zima
Tukio la mauaji ya kijana Mathias Teti (26), mkazi wa Kitongoji cha Kireiyo, Kata ya Uru Shimbwe, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, limewaacha wakazi wa eneo hilo na mshangao baada ya kudaiwa...