Mke wa Rais wa Finland azindua jengo la dawati la jinsia na watoto Zanzibar Wakati mke wa Rais wa Finland Suzanne Innes-Stubb akizindua jengo la dawati la jinsia na watoto Zanzibar na kutajwa kuwa kimbilio la wengi, takwimu za miaka mitatu za ukatili wa kijinsia...
Usafiri wa bodaboda kupangiwa bei elekezi Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuwa iko katika hatua za mwisho za kuandaa viwango maalumu vya nauli kwa waendesha bodaboda, ili kuondoa changamoto ya kila mmoja kuweka bei...
SMZ yafungua fursa mpya kwa diaspora kuwekeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imechukua hatua thabiti kutambua na kuthamini mchango wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi (diaspora) katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kwa kufanya...
Wawakilishi walalama kesi za udhalilishaji kuja kivingine Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Serikali kufanya mapitio ya Sheria ya Mtoto, wakieleza kuwa kumeibuka changamoto ya madai ya kubakwa ambayo wakati mwingine yanaibuliwa na watu...
Wizara kuratibu upatikanaji ajira 20, 000 ndani na nje ya nchi Shariff amesema pia wataratibu kuimarisha mazingira ya kazi na uhusiano kazini, kusimamia ulinzi wa haki za wafanyakazi, ulinzi wa afya na usalama kazini na utatuzi wa migogoro ya kazi na kufanya...
Wawakilishi: Vikosi vya SMZ visitumike vibaya Wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameonya matumizi mabaya ya vikosi vya SMZ katika uchaguzi huo.
Tasaf awamu ya tatu kujikita kwenye mabadiliko ya tabianchi Unguja. Awamu ya pili ya utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) inapoelekea ukingoni, maandalizi ya awamu mpya yanayoanza Oktoba mwaka huu yanaendelea. Kipaumbele kikubwa kitawekwa...
Wizara, jumuiya za utalii wabuni mpango kuongeza watalii Zanzibar Ili kufikia lengo la Serikali kuingiza watalii 829,00 mwaka huu, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar kwa kushirikiana na wadau wengine wameingia makubaliano na taasisi tano kufanikisha...
Sh131.3 bilioni kutekeleza vipaumbele tisa, Katiba na Sheria Wizara ya Katiba, Sheria Utumishi na Utawala Bora, imepanga kutekeleza vipaumbele tisa huku ikiliomba Baraza la Wawakilishi kuidhinisha Sh131.337 bilioni.
PRIME Majura, Regina wasimulia safari yao na Charles Hilary “Alibarikiwa na kipaji kikubwa cha kutangaza, sauti yake ilikuwa na mvuto kwa kila kipindi, asingeweza kufanya kipindi iwe kwenye michezo au habari za kawaida ukashindwa kufurahia, au ukasikia...