Kenya yatangaza siku tatu za maombolezo vifo vya wanafunzi 17
Katika siku hizo tatu za maombolezo kuanzia Jumatatu, Septemba 9, 2024, hadi Jumatano, Septemba 11, bendera ya nchi hiyo na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitapepea nusu mlingoti katika...