Shilole kama haendi ila ndio anaenda hivyo Alianza mapambano yake katika sanaa akiwa tayari ni mama wa watoto wawili, ni wachache walioamini Shilole atakuja kuwa chapa kubwa hivi, safari ilianza polepole kama haendi ila sasa ameenda hata...
Young Killer na Nandy wanavyotumia mkono mmoja kuandika Alianza kufanya vizuri kwenye muziki akiwa bado ni kijana mdogo, uwezo wake wa kuandika mistari kwenzi na kuichana vilivyo ulimpatia umaarufu kwa wasanii wengine hasa wa Hip Hop Bongo kabla ya...
Kwanini Snoop Dogg analaumiwa kuhusu Death Row? Rapa Snoop Dogg, 53, ameendelea kulaumiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Death Row Records, Suge Knight, 59, kwa madai amechagia kuharibu historia ya lebo hiyo maarufu na hata muziki wa Hip...
Mr Ebbo kwenye safari ya Danny Msimamo Hadi katikati ya miaka ya 2000, Danny Msimamo alikuwa miongoni mwa marapa wakali katika Bongofleva akitambulika na wengi kama msanii mwenye uwezo wa kufikiri nje ya box na nyimbo zake nyingi...
Katika hili, kuna kitu Harmonize amejifunza! Septemba 2020 Harmonize alivunja kibubu chake na kufanya usajli wa kutisha kwa ajili ya kumarisha kikosi kazi chake cha Konde Music Worldwide. Lebo hiyo ilifanikiwa kunasa saini za Country Boy...
PRIME D’jaro Arungu mtangazaji mwenye dunia yake Jina la D’jaro Arungu si geni kwa wasikilizaji wengi wa redio nchini, mbali na umahiri wa kazi yake, mtangazaji huyo ana rekodi yake ya kipekee Bongo nayo ni ya kushinda tuzo 19 ndani ya miaka 10...
Kim Kardashian kumrithisha mwanae pete ya almasi Mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian (44) amepanga kumpa mtoto wake wa kwanza, North, 11, pete ya almasi aliyovishwa wakati anachumbiwa na aliyekuwa mume wake, Kanye West (47), ambaye ndoa...
Phina anavyowapa changamoto washindi BSS SHINDANO la kusaka vipaji vya uimbaji la Bongo Star Search (BSS) limemalizika hivi karibuni na Moses Luka kutokea DR Congo kuibuka mshindi baada ya msimu huu wa 15 kushirikisha washiriki kutoka...
Kajala katika dunia ya MB Dogg tangu kitambo Hakuna ubishi kuwa MB Dogg ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva ambao muziki wao ulitikisa vilivyo, ngoma zake zililia sana mitaani na kutawala chati karibia zote za vituo vikubwa vya...
Jordan alivyobadili mapishi hadi Cuba Nje ya uwanja kuna mengi unayoweza kuzungumzia kuhusu maisha binafsi ya Jordan, mojawapo ni kubadili mapishi nyumbani kwake kwa kumleta fundi mpya wa jiko mwenye asili ya Cuba, Yvette Prieto, 46,...