Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1067 results for Peter Elias :

  1. PRIME Dk Nchimbi awaweka mtegoni mawaziri watano

    Dk Nchimbi alipokea kero mbalimbali za wananchi katika ziara yake na kuzitolea maelekezo ya utekelezaji kwa viongozi kadhaa wakiwamo mawaziri.

  2. Dk Nchimbi akomalia fidia ya Sh1.4 bilioni waliopisha mradi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemtaka Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha wanalipa fidia ya Sh1.4 bilioni kwa wananchi waliopisha mradi wa ujenzi wa...

  3. Dk Nchimbi ingilia kati wananchi kukosa diwani, ampa Mchengerwa siku 40

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameingilia kati suala ya kata ya Kagerankanda kukosa diwani kwa miaka mitatu sasa, kwa kumwelekeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...

  4. Mwandinga watoa kero, Dk Nchimbi azisukuma kwa Masauni, Mchengerwa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kujenga kituo cha polisi katika Kata ya Mwandiga iliyopo Kigoma vijijini, kabla...

  5. Dk Nchimbi, wenzake kujikita kanda ya ziwa kwa siku 14

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewasili Kigoma kuanza ziara ya siku tatu ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kukagua uhai wa chama na utekelezaji wa ilani ya...

  6. Siku ya Bia duniani inayowagusa Watanzania, watumiaji waeleza ‘vibe’ lake

    Wanywaji wa bia nchini Tanzania, leo Ijumaa Agosti 2, 2024 wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia inayolenga kuwaleta pamoja marafiki katika kufurahia ladha ya bia.

  7. Kikwete asimulia alivyomruhusu mkewe kugombea ubunge kishingo upande

    Rais wa awamu ya nne nchini Tanzania, Jakaya Kikwete amesimulia namna alivyoshawishiwa na wazee 15 kutoka Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, ili amruhusu mkewe, Salma Kikwete agombee ubunge kwenye...

  8. Vigogo ACT-Wazalendo, Chadema Lindi watimkia CCM

    Waliokuwa wanachama ACT-Wazalendo na Chadema wapongezwa kwa kujiunga CCM

  9. Kujiuzulu kwa Kinana, Wanaccm Lindi wafunguka

    Kinana alijiuzulu jana Jumatatu Julai 29, 2024; huku taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla, ikisema mwenyekiti wa chama, Rais Samia Suluhu...

  10. Dk Nchimbi azitwisha zigo la korosho wizara za Kilimo, Viwanda

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameziagiza Wizara ya Kilimo na ile ya Viwanda na Biashara kuhakikisha korosho yote inabanguliwa nchini kabla ya kuuza nje ya nchi.

Previous

Page 12 of 107

Next