PRIME Nje ya siasa, Lissu humwambii kitu kwa Yanga, ugali Mwanasiasa huyo machachari, tofauti na alivyozoeleka katika majukwaa ya kisiasa, anasema akiwa nyumbani ni baba wa kawaida anayependa kuipikia chakula familia yake.
PRIME Siri yafichuka kinachoendelea kambi ya Simba Simba ya msimu huu chini ya Kocha Fadlu Davids imeonekana moto, ikiusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kulikosa kwa misimu mitatu mfululizo, lakini ikiwa timu pekee iliyosalia katika michuano...
Rekodi zinazotikisa Ligi Kuu Ni weka niweke katika Ligi Kuu Bara baada ya kubakisha michezo 10 hadi tisa kwa baadhi ya timu kumalizika kwa msimu huu, huku ushindani ukitikisa kwa vigogo wanaowania ubingwa, nafasi nne za juu...
PRIME Simba, Azam... utamu uko hapa Simba imetamba leo itaendeleza Ubaya Ubwela pale ilipoishia wakati itakapokuwa wenyeji wa Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, huku Wanalambalamba wakijibu mapigo kwamba safari hii hawakubali...
Mashujaa, Yanga ugumu uko hapa Sababu kuu ya ugumu wa mchezo huo ni nafasi ambayo kila moja ipo kwenye msimamo wa ligi na pointi ambazo imekusanya hadi sasa.
PRIME Mdee, wenzake 18 waanza mbinu kurejea tena bungeni Mdee na wenzake walikata rufaa Baraza Kuu la Chadema dhidi ya uamuzi huo wa Kamati Kuu. Baraza Kuu lililokutana Mei 11, 2022 ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam lilitupilia mbali rufaa yao.
PRIME Simba imejipanga eneo hili, ukijichanganya inakula kwako! Kuweni makini! Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu pinzani pale zinaposhuka uwanjani kucheza na Simba, kwani zikijichanganya kidogo tu zijue mapema inakula kwao mapema.
Mashujaa waondoa gundu Ligi Kuu Mashujaa jana jioni ilikuwa uwanjani mjini Kigoma kuvaana na Pamba Jiji, huku timu hiyo ikiwa na rekodi ya kucheza dakika 720 bila ushindi, lakini kocha Mohamed Abdallah 'Baresi'
PRIME CCM inavyopenya Pemba, ngome ya upinzani Zanzibar Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).
Kesi tano kupishana Kisutu leo, imo ya wanaodaiwa kukutwa na mijusi na vinyonga 164 Kwa mara ya kwanza, washtakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo Januari 9, 2025, na kusomewa kesi ya uhujumu uchumi namba 395 ya mwaka 2025.