PRIME Uhalisia, katikati ya sheria ya utoaji mimba Ukosekanaji wa huduma salama za utoaji mimba, husababishwa na mazuio ya kisheria ambayo yamefafanuliwa kwenye vifungu hivyo.
Mbarawa aelekeza huduma za chakula, vinywaji ziongezwe SGR Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuongeza urahisi wa upatikanaji wa huduma za chakula na vinywaji, ikiwa ni sehemu ya kuongeza...
PRIME Tanzania inavyofaidika na mikutano ya kimataifa Miongoni mwa mikutano mikubwa iliyowahi kufanyika na itakayofanyika nchini katika siku za karibu ni ule wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati uliowakutanisha marais 20 wa mataifa ya Afrika.
PRIME Ukweli kuhusu Watanzania wanaougua kifafa Kifafa ni ugonjwa sugu usioambukiza wa ubongo, unaoathiri takriban watu milioni 50 duniani.
PRIME Hiki ndicho chanzo wasichana wengi kuvunja ungo mapema Matukio ya wasichana wenye umri mdogo kupevuka (kuvunja ungo) ni ya kawaida katika miaka ya hivi karibuni.
Watu 35,000 wang’atwa na mbwa 2024, wizara yahaha kusaka chanjo Wakati watu 900 wanafariki dunia kila mwaka kwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa nchini, takwimu zimeonyesha kwa mwaka 2024, takribani watu 35,000 waling’atwa na mbwa huku Wizara ya Afya ikiendelea...
WHO yamteua Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, uchaguzi ukitajwa Mei Desemba 10 akizungumza baada ya kuapisha viongozi mbalimbali akiwa katika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar Rais Samia alimtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed...
Siri kupungua vifo vitokanavyo na uzazi Tanzania Dk Mpoki Ulisubisya ndiye alianza kuelezea hatua hizo, akirejea alipokuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kuanzia mwaka 2016.
Mafanikio, mwelekeo Gates Foundation miaka 25 ijayo Samburu anayesimamia miradi ya Gates iliyopo Kenya, Tanzania, Rwanda, Uganda na mataifa mengine ya Afrika Mashariki, pia ameeleza sababu ya taasisi hiyo kumpa tuzo ya heshima Rais wa Tanzania...
Sababu Rais Samia kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeepers Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa...