Sakata la RC na kadi za mpigakura latinga barazani, Serikali yajibu
Sakata la Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrisa Kitwana, kuwataka wafanyakazi wa Serikali mkoani kwake wawasilishe kadi zao za mpigakura azikague, limeibukia Baraza la Wawakilishi, wakitaka...