Tanzania yapokea ushauri ujenzi daraja Dar- Zanzibar Leo Agosti 22, 2024 Serikali kupitia Wizara ya Mipango na Uwekezaji imekutana na wawekezaji na uwakilishi wa Serikali ya China katika kujadili fursa za ushirikiano wa kimaendeleo kati ya mataifa...
Sheikh Doga afariki dunia, kuzikwa leo Dar Sheikh Doga amekuwa mwalimu wa masheikh mbalimbali hapa nchini, vijana wengi ambao sasa ni masheikh wamepita katika mikono yake
UN: Mwaka 2023 ulikuwa 'mgumu' kwa watoa huduma za kibinadamu ulimwenguni Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Watoa Huduma za kibinadamu Ulimwenguni, imeelezwa mwaka 2023 ulikuwa mwaka mgumu kwa watoa huduma hizo kutokana na baadhi yao kupoteza maisha wakati wakitekeleza...
Waungana kupinga mabadiliko kifungu cha rushwa ya ngono Mtandao wa Viongozi Wanawake Vijana umeungana na Mtandao wa Kupinga Rushwa ya Ngono Tanzania kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vyombo vinavyohusika na mabadiliko ya sheria, ikiwemo...
Wanamtandao Tanzania waibua mapya rushwa ya ngono Dar es Salaam. Wanamtandao wa Kupinga na Kupambana na Rushwa ya Ngono nchini Tanzania wametaka kuondolewa kwa kifungu cha 10(b) kwenye mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya rushwa, ambacho...
Wataalamu 250 wa afya ulimwenguni kukutana Tanzania Mada na tafiti mbalimbali zitawasilishwa na wataalamu wa radiolojia kutoka Afrika, Asia, Marekani pamoja na Ulaya
Ubaguzi unavyowarudisha nyuma watu wenye ulemavu Ubaguzi kwa watu wenye ulemavu katika jamii unatajwa kama moja ya sababu inayofanya kundi hilo kushindwa kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii.
Taknolojia ilivyopaisha faida Mfuko wa Faida Dar es Salaam. Mfuko wa Uwekezaji wa Faida Fund umeripoti ongezeko la faida kwa wawekezaji, kutoka asilimia 10 ya Juni 20, 2023, hadi asilimia 12 kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2024. Hayo...
LHRC yakosoa mapendekezo muswada wa Sheria ya Uhamiaji Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeeleza wasiwasi wake kuhusu baadhi ya mapendekezo kwenye muswada wa marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji, ambao unalenga kutoa hadhi...
Serikali yatangaza ajira mpya Amesema hiyo inatokana na kuwa nafasi zilizotolewa ni chache ukilinganisha na uhitaji halisi wa ajira kwa vijana.