Nick Cannon alivyopata watoto 12 ndani ya miaka 12 Kutana na Nick Cannon ambaye ni Rapa na DJ nchini Marekani, mwamba ni baba wa watoto 12 akiwa amezaa na wanawake sita tofauti kwa kipindi cha miaka 12 tangu alipojaliwa watoto wake wa kwanza...
Kala Jeremiah hakuwa na ndoto ya muziki Nyota yake iling'aa baada ya kuonekana katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) na sasa Kala Jeremiah ni miongoni mwa wasanii bora wa Hip Hop kuwahi kutokea Bongo.
Hakimiliki inazingatiwa wasanii kurudia nyimbo za zamani? Miaka ya hivi karibu imekuwa sio jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo, hilo limekuwa likitoa nafasi kwa nyimbo hizo kupendwa kwa haraka kutokana na...
Mwamba wa Dolly Parton umeanguka ukitafakarisha! Alfariji ya Machi 3 kwa saa za Afrika Mashariki, mkali huyo wa kibao, Jolene (1973), kupitia ukurasa wake wa Instagram alitangaza kifo cha Dean kilichotokea huko Nashville, Marekani na kusema...
Abigail Chams na Harmonize wanachokitafuta kwa sasa ni hichi WAIMBAJI wa Bongofleva, Abigail Chams na Harmonize wanaendeleza ushirikiano wao wa kikazi wa muda mrefu na sasa wamekuja na mradi wao mpya ambao unalenga tuzo kubwa zaidi za muziki duniani za...
Mambo kumi yanayompa ufalme Alikiba Ukiachana na uwezo wake kimuziki, wengi wanamuheshimu Alikiba kutokana na kuweza kuendelea kuwepo katika muziki tena akifanya vizuri kwa kipindi kirefu ukilinganisha na wasanii wengi aliotoka nao...
Ni dabi ya kwanza kwa Hamisa na Jux Hatimaye ile siku imefika na haina kipengele ambapo wababe wa soka la Tanzania, Yanga SC na Simba SC wanakutana katika dabi ya Kariakoo itakayopigwa Dimba la Benjamin Mkapa ukiwa ni mchezo wa...
Mastaa watoa neno Siku ya Wanawake Duniani Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka duniani kote kwa lengo la kutambua harakati ambazo zinalenga kupigania usawa kujinsia, haki ya kuzalisha, kupinga...
D Knob kama Nandy maisha ya muziki yamebadilisha ramani Mwaka 1998 D Knob alianza muziki kwa kujifunza kupitia nyimbo za Tupac, miaka mitano baadaye jina lake likachomoza katika Bongo Fleva na kuwa miongoni mwa wachanaji wakali kuwahi kutokea.
Sauti nzuri ya Mungu katika ndoto ya Celine Dion Miaka 56 iliyopita huko Charlemagne, Quebec nchini Canada, Bw. Adhemar Dion na mkewe Therese Nee walijaliwa mtoto wa kike na kuamua kumpa jina la Celine akiwa ni mtoto wa 14 na mwisho katika...