Kilichojiri kesi ya wanaodaiwa kumuua mwanafamilia Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Februari 26, 2025, kuwasomea hoja za awali (PH) Sophia Mwenda (64) na mwanaye, Alphonce Magombola(36) wanaokabiliwa na kesi ya mauaji.
Kabaisa na wenzake, waomba mahakama itoe maelekezo kwa Serikali Washtakiwa tisa wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 332 za Heroine na Methamphetamine, wameomba Mahakama itoa maelekezo kwa Serikali waongeze kasi ili upelelezi wa shauri hilo ukamilike kwa...
Wanaodaiwa kusafirisha tani moja bangi, wahoji upelelezi kuchelewa Washtakiwa hao wafikia hatua hiyo, muda mfupi baada ua upande wa mashtaka kudai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.
Bosi wa Jatu atoa ombi kortini, agomewa Gasaya anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha kiasi hicho cha fedha, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Uchunguzi kesi ya jengo lililoporomoka Kariakoo bado Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wanaodaiwa kuwa ni wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la...
Mchina matatani akidaiwa kujipatia Sh34.7 bilioni kwa upatu Raia wa China, Weng Jianjin amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu, yakiwamo ya kukusanya na kuendesha biashara ya upatu na kujipatia Sh34.7 bilioni kwa...
12 kutoa ushahidi kesi ya kusafirisha binadamu kimagendo Serikali imesema kuwa inatarajia kuwa na mashahidi 12, watakaotoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha binadamu kimagendo, inayomkabili raia ya Ufaransa, Michael Mroivili.
Wawili kortini wakidaiwa kusafirisha kilo 58 za heroini Mkazi wa Salasala, Goodnees Remy(32) na raia wa Nigeria, Emmanuel Chigbo(42) maarufu kama Chasi, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka matatu ya...
Aunganishwa na kaka yake kesi ya kughushi wosia Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya kughushi wasio wa mama yake.
PRIME Dk Slaa afikisha siku 28 rumande, kesi yake yapigwa kalenda Serikali imesema upelelezi katika kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika Mtandao wa X, inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Willibrod Slaa (76), bado haujakamilika.